Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Ukiwa unatumia Samsung unakuwa comfortable zaidi kulinganisha na Tecno? Naomba msaada wa kunidadavulia hili

Mtu anaweza kutumia Passo lakini akawa comfortable na akafika atakapo kwa wakati lakini wewe unayetumia benz kwa kutojiamini kwako unaanza kashfa kuwa Passo sio gari nini kinakupelekea kusema hivyo ilihali wewe unaenjoy maisha kwenye bmw
Unazungumzia confortability halafu unataja Passo?

Hivi umewahi panda Passo halafu unaenda panda Benz ukaona utofauti?
 
Usifananishe gari na simu afu Kuwa serious mkuu hivi vitu hatuangalii majina bali specifications. Unapoongelea bmw tafuta na gari ya Toyota inayoendana sifa na aina ya bmw weka ushabiki pembeni.
Mkuu kubali hujui lolote kuhusu na uzi wako ulitakiwa kuuliza kwanini mnatudhararu naomba ufafanuzi.. na sio kujifanya unakuja na ishu za specification ambazo ni too low ila kwako na upeo wako watiknitekno unaona umetoa point.
 
Kuna kigezo kingine huwa wanaweka kwa mfano ili mtu ajiunge diploma fulani basi awe na certificate ya eneo husika analotaka kusoma diploma ama awe na ufaulu wa credit 3 ( c tatu)form four.

Kwahiyo unakuta mtu ana four ya points 28 ila ana C tatu kwahiyo anakuwa qualified.
4 ya 28 uwe C tatu? How?
 
tecno hata iwe kubwa au nyingi kiasi gani inakunyima kujiamini,hizi simu sijui zina nini[emoji1787][emoji1787].

mimi naamini popote unapokaa na watu,lazima uwaambie hiyo simu ina storage ngapi na ram kiasi gani,na ni lazima uwajaribishie camera[emoji23][emoji23][emoji23]bisha.
Hahah
 
Navyojua mimi kila mzalishaji lazima awe na target ya soko lake na kuna sababu anaziconsider kama ushindani na gharama za kufikisha bidhaa kwa watumiaji wake kwa hiyo kukuta bidhaa inapatikana kwa wingi ukanda fulani sio ishu na kuna mataifa yana restrict bidhaa fulani ili kulinda soko la ndani.

Na kuhusu simu kuuzwa kwa bei ndogo ni marketing strategy ya kuwavutia wateja wengi na kuwashinda competitors wako.
Nitajie taifa linalorestrict ili kulinda bidhaa za ndani.
 
Uko sahihi kabisa bro. Watu wengi wana UKIMWI wa Mawazo na kasumba iliyopitiliza.Kimsingi TECNO,ITEL,etc. Walifanya utafiti wa Mazingira ya Africa na zinafaa kwa Watu wanaotambua hilo. Wengi wanadanganyika kuhusu bei kumbe issue ni brand tu na gharama za uzalishaji lakini performance etc the same.
Niletee tecno yenye performance sawa na samsung s21 ultra.
 
Nimewahi kumiliki Samsung AH 300 na Samsung j5 prime very expensive ila sijawahi kuona simu zinapata moto kama hizo hadi sometimes nikiwa bar namwomba mhudumu aniwekee kwenye fridge dk 10 (seriously) .
Pili hazikai na chaji halafu zina memory ndogo mwanga hafifu na ni SAMSUNG genuine made in Vietnam na Korea.
Nahudhuria sherehe watoto wana tecno zao wanarecord video ndefu ndefu gizani na zinatoka fresh mm samsung inalete giza tu shenzy nikaachana na huo ujinga nimeanza kutumia tecno hizi Pouvoir zina ubora zinakaa na chaji hadi chaja inapotea.
Kuna watu wana iphone original tunakaa sehemu zina poor signal reception simu zao hazipati mtandao ila tecno zinatamba tu.
Kuna baadhi ya Samsung ubora wake ni kwenye kusikiliza miziki tu.
Tema mate chini... Nunua Flagship acha kununua Takataka...
 
Taja simu ya tecno yoyote tukuoneshe jinsi ilivyo ya class ya chini ukilinganisha na simu zingine.
Wamekutajia huko juu Phantom 8 inayotembea kwa milion na v chenz, wote wamekimbia hakuna alie ijadil

Class ya chin iuzwe milion??

Ujinga mtupu mnajaza vichwan
 
Yaelekea hujui telecommunications kabisa

Hivi unafananishaje user experience ya Vitz na Range Rover Vogue?

Yaani tukiwa kwenye mnara na mnara umejaa,ikatokea just one channel ya kupita,mimi Iphone nitapita kwanza wewe Itel utasubiri

Pia processing power ya chips za simu kubwa ni powerful zaidi ya Itel na Tecno

Kwahiyo Itel na Tecno zitakua slower than..

Huwezi fananisha huu ujinga wewe

Ndio maana Iphone au samsung inauzwa Milioni 2,000,000/= na Nokia Tochi inauzwa 50,000/=..Very big difference
Simu zinapimwa kwa specifications bro na matoleo huwez chukua range rover ya mwaka 2021 ukalinganisha na toyota ya mwaka 1999

Chukua rangi ya mwaka huo linganisha na moja ya product ya toyota ya mwaka husika , ndio ulingaisho ulivyo
 
Back
Top Bottom