42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Unazungumzia confortability halafu unataja Passo?Ukiwa unatumia Samsung unakuwa comfortable zaidi kulinganisha na Tecno? Naomba msaada wa kunidadavulia hili
Mtu anaweza kutumia Passo lakini akawa comfortable na akafika atakapo kwa wakati lakini wewe unayetumia benz kwa kutojiamini kwako unaanza kashfa kuwa Passo sio gari nini kinakupelekea kusema hivyo ilihali wewe unaenjoy maisha kwenye bmw
Hivi umewahi panda Passo halafu unaenda panda Benz ukaona utofauti?