Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Kiukweli kwa mtu ambaye anajua simu ni nini. Tecno, Itel na ndugu zake huwezi tumia. Hizi ni simu ni kwa watu wanaoingia JF, Facebook, WhatsApp, Twitter n.k
Ukiinstall application km Canva, Adobe n.k
Utachokutana nacho, utajuta. Unfortunately, Google play store has stopped
Mimi na DURO aka TECNO yangu napeta KWA raha zangu sidhani kama kuna simu inaonyeshaga malaika mbingun[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tecno
Itel
Infinix

Ni upuuzi kama upuuzi mwingine ni sawa na
Div. IV point 28
Div. IV point 32
Div. IV point 34

Ni kuzidiana katika kufeli tu
Maisha nyuma ya keyboard, unakuta hii comment imeandikwa na huyu
IMG-20210817-WA0023.jpg
 
Usifananishe gari na simu afu Kuwa serious mkuu hivi vitu hatuangalii majina bali specifications. Unapoongelea bmw tafuta na gari ya Toyota inayoendana sifa na aina ya bmw weka ushabiki pembeni.

unachekesha sana.
nipe sababu ya kulinganisha majina na vitu.
bmw inamiaka mingapi na passo ina miaka mingapi
 
Mkuu nunua iphone au Samsung Ili uwafurahishe watu,

Dunia haina usawa
Kuanzia mavazi,malazi, chakula,ndinga nzuri majumba mazuri

Vyote hivi hufanyika kulingana na walimwengu wanataka Nini .ukibisha utapata taabu Sana.

Bodi wangu alinunua Toyota Prado bila kupenda kisa tu walimwengu hawakuipenda Toyota Corolla yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baya zaidi unayemnunuza hathamini unavyonunua na kusema hawana soko kwako.
Sasa sijui wenye IPHONE Tanzania wameuziwa third party ambayo sisi hatumo.
 
Mkuu nunua iphone au Samsung Ili uwafurahishe watu,

Dunia haina usawa
Kuanzia mavazi,malazi, chakula,ndinga nzuri majumba mazuri

Vyote hivi hufanyika kulingana na walimwengu wanataka Nini .ukibisha utapata taabu Sana.

Bodi wangu alinunua Toyota Prado bila kupenda kisa tu walimwengu hawakuipenda Toyota Corolla yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huo ndo ukweli ndugu zangu...
Au nasema uongo ndugu zangu???
 
Tecno
Itel
Infinix

Ni upuuzi kama upuuzi mwingine ni sawa na
Div. IV point 28
Div. IV point 32
Div. IV point 34

Ni kuzidiana katika kufeli tu
1. Nina 4 ya 28.

2. Diploma ya Uhasibu ( Sikuwahi kufeli hata somo moja, nilimaliza na GPA 4.5)

3. Bachelor Degree in Logistic and Transport Management. ( Sikuwahi kufeli hata somo moja, nilimaliza na GPA 4.1)
4. Mtuache na 4 zetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ni hulka. Kuna watu, wengi tu wana uwezo wa kumiliki simu kali lakini wanatumia simu za kawaida sana. Na mwingine yuko radhi amiliki simu yenye thamani ya mishahara yake mitatu.

Binafsi hapa namiliki Infinix! Miaka miwili sasa. Naweza kufanya kazi za ofisi, kupiga na kupokea simu, kutuma sms na ina whatsapp. Na kwa vile maisha yangu napeleka nnavyotaka mwenyewe na serikali yangu. Hainisumbui kuitoa popote pale.

Nikienda kwa wakala au benki hawaniulizi unatumia simu gani? Ilimradi salio liwepo.
 
Asilimia kubwa ya Iphone za hapa bongo ni either Used kutoka nje au Refurbished, ni wachache sana wanaonunuwa simu kutoka apple store au authorized apple dealers na kwenye mitandao ya simu kwasababu huko bei ni juu,

Na kwa bahati mbaya hawa wanaonunua hzi refub, ndio huwa wa kwanza kujikweza na kukandia watumiaji wa simu wa brands nyingjne kuwa wanatumai vitu vibovu na hawana "uwezo"!!
 
Back
Top Bottom