Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Simu hazinanani ndugu....

Ni sawa na kusema Passo na S-Class yote si yanakutoa sehemu moja kwenda nyingine, mbona mwenye S-Class ana heshima zaidi ya Passo.

Anyways....balaa la kwanza la Tecno ni pre-installed software za ajabu ajabu. Hata ufanyeje hazitoki.

Halafu simu zina mara po up za ajabu ajabu na matangazo ya lazima kuliko tshirt za Simba 😁 😁 😁
 
Just from the title. Kuwa na amani BabaMorgan, binadamu sisi tunaendeshwa na matamanio plus egos zisizo na maana. Tamaa ya mwili na ubinafsi,...comparisons na characters....all ni tukishamaliza basics yanabaki matamanio.

As long as kitu unachokitumia kinasave purpose then inatosha. Ni sawa na kupanda ndege moja hiyo.hiyo business class versus economy na first class kwa baadhi ya airlines. Mtatake off pamoja na mtatua pamoja, ikipata madhara angani wote mko katika equal chances ya survive and perish.

Be happy, cherish your tecno whatever oppo itel because what you have in your hand is your kingdom.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli kabisa Tecno sina hamu nayo kabisa yaani ilichonifanyia siwezi kusahau me nipo kwenye starehe na mtoto wa Baba mkwe ucku nakula tunda nimeiweka charge kumbe ilijaa ikachemka ikajipiga namba ya mama mkwe akapokea akijua kuna shida kumbe cm imejipiga alafu kila akikata haikati ikabidi yeye achomoe betri nilipata aibu kubwa sana [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Vitu vya low quality vinakuwa na watuamiaji wengi kuliko vya high quality.... Kigezo kikubwa haswa ni Quality.... bt that doesn't mean hakuna Sumsung ya low quality.
 
Weka vyeti hapa mkuu, yani topic za what are causes, mention merits and demirits, define law of use and dis use theory ukashindwa ila haya ya ufafanuzi wa mantiki ukaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini hivyo......
1. Siwezi weka vyeti ila we amini tu.
2. Kumbuka sio kila aliepata 4 ni kilaza, kuna sababu nyingi tu.
3. Kumbuka watu wanabadilika....ilifikia hatua nilikuwa nafundisha wanafunzi wenzangu Mathematics, tena wengine walipata one O'level na A' level.
Hadi leo hii kila nikiongea na baadhi yao huwa wanashukuru kwa msaada nilio wapatia.

Nilijituma sana....sikutaka kufeli tena, O'level nilijifanya genius nikaangukia pua.

Amini hivyo.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sasa jeuri gani ya fedha ambapo eti mtu anamiliki Samsung au Apple halafu hata bodaboda ya kumuingizia kipande kwa siku hana [emoji12][emoji12]?
Akili za kuangalizia ambazo una kopi hadi jina la unayempiga chabo
 
Tecno zina overheat hii kitu kwenye Samsung Hakipo ,Ram ya Tecno na Samsung ni tofauti ,Tecno Simu za ovyo
Tecno inayo overheat ni toleo gani afu katika uelewa wako wa masuala ya simu hujawahi kusikia kasoro za Samsung au apple?
 
Smart comment kutoka kwa smart person Kila la heri umemaliza kabisa
 
kwa upande wangu nataka cmu iwe na vigezo navyotaka mfano. Processor ya juu, Camera kali HD , kioo kiwe 90 to 100% Screen body ratio, Ram kubwa mwishoni ni storage ya kufa mtu kutokana na shughuli zangu...

Nkitumia tecno au itel itakufaa siku 2

#Natumia infinix note 10 Pro ( Sijawahi kutumia infinix ila hii wamehitahidi )

mwisho.

##. Tafiti zinasema kila mwezi kuna maambukizi mapya 200 ya HIV kwa vijana kati umri wa miaka 17 mpka 40..

nawasilisha

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kudharau ni tabia tu ya mtu, mtu aliye tajiri wa ukweli hana muda wa kuonyesha kujikweza, ila kuna hawa wa pato la kati ndio tatizo, show off nyingi sana, sasa wewe kama unatumia Samsung anayetumia itel anakuhusu nini, tena ilitakiwa umpongeze unaweza chat naye kwa what app, au unataki abaki kitochi
Kuna smartphone za tecno zinauwezo mkubwa kuliko za Samsung, ukiona mtu anazidiss ujue anauelewa mdogo kuhusu smartphone
 

tajiri gani umeshawahi kukaa naye mkuu[emoji3][emoji3][emoji3].
 
Hizo tafiti za HIV ni za dunia au ni za hapa Bongoland? Na za mwaka gani? Na vigezo gani vilitumika kuzikusanya mpaka kuja kutoa ripoti?

Ukishindwa kunipatia majawabu hizo zinabaki kuwa tetesi.
 
Kila mtu aishi kwa uwezo na ukubwa wa mfuko wake, Me kwangu binafsi Tecno ndo best choice kwa wakati huu, sijapungukiwa chochote.
 
Umemaliza. Mtu anamiliki simu ya gharama ukimuuliza ina impact gani kwenye maisha yake anabaki kusema Tecno inapata joto.
Tena unakuta hata bundle la mwezi elfu 20 au 30 hana uwezo wa kulinunua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una Sumsung unaendesha boda, yaani hata Paso huna [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…