mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kwa tafsiri hiyo ukiwa unamiliki bmw unakuwa na kibali cha kumdharau anayemiliki Passo kuna wakati tujifunze kuappreciate vitu vya watu.
Kuna mataasisi yenye wataalamu yanasimamia standard ya hivi vitu ukiona bidhaa imeingia sokoni ni wazi kuwa imekidhi viwango vilivyowekwa.
Sasa wewe unayejifanya mjuaji na akili zako za darasa la saba b unakomaa kuwa Tecno sio simu ilihali hata basics za kutengeneza calculator huzijui.
unajua kwanini kwenye league za magari hakuna kelele sana ndugu au dharau kama unavyosema!!!
sababu wengi wenye magari ya bei chee wanakubaliana na hali zao,na kupata gari ya hadhi kubwa ni zoezi lingine gumu kiasi maana kwenye gari kubwa mpaka kuihudumia inataka nawewe uwe vizuri,tofauti na kwenye simu.
mtu ana uwezo wa kununua simu nzuri tu,lakini na kisogo chake huyo mpaka kkoo anakwenda kujiwisha galasa,hapa ni ushamba tu unasumbua wala sio maamuzi[emoji23][emoji23][emoji23]