Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Shida ya sisi watanzani ni kwamba tunaponda nakusifia kwa matumizi na sio kuunda vyakwetu

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
usiwe mbishi bila kujisomea.

unajua tecno,infinix na itel zinazalishwa wapi???na kuuzwa mataifa yapi??kwanini??

unajua kwanini zinauzwa bei ndogo kuliko simu sawa za kampuni kubwa??
Bei ya Phantom Z ni milioni moja je hiyo ni bei ndogo?
 
Utakuwa mtoto sana wewe [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Wanachekwa sababu wanatumia pesa kununua vitu vya hovyo.
 
Akili za kuangalizia ambazo una kopi hadi jina la unayempiga chabo
Yaani unakuwa na simu halafu huna uwezo wa kununua bundle la mwezi elfu 30 GB 20? Huwezi kuwa na salio la laki tano kwenye simu halafu unajisifu ujinga? Acha upimbi dogo..
 
Ni ushamba kumiliki simu ya bei kubwa ni kweli.Watu kama hao wanataka tu kupata acceptance kwa watu, which is a psychological problem.Mtu anayejiamini hahitaji kupata acceptance kwa watu kwa kuwa na hiki au kile.
 
Simu inatakiwa iwe na uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu, iweze kuwa hewani unapopigiwa, uweze kuitumia kupigia watu, hivyo ndio vitu vya msingi.

Chachandu iongezewe kalkuleta na kamera. Wengi wetu hivyo ndio vitu tunahitaji.

Kukimbizana na matoleo ni mambo ya status tu. Kuna watu wanamiliki simu ina mambo ambayo anaitumia 10% tu.

Kwa hisani ya Infinix X603.
 
Tofauti ipo hizo simu ulizotaja zinapata sana moto, baada ya muda fulan huwa zinasumbua network na pili Zina great effect kwenye Radiation

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Nakubaliana na wewe hasa hapo kwenye madhara ya mionzi.

Lakini simu za aina zote zinazokuja soko la Afrika au huku nchi masikini, hazina ubora. Ni tofauti sana na simu hizo hizo zinazotengenezwa maalum kwa soko la Ulaya.

Ndio maana kuna wakati naona bora nipate second hand. Wanaandika hadi hizo taarifa za makadirio ya athari za radiation.
 
Huu uzi ni mahususi kwa sisi masikini kujifariji, sizitaki mbichi hizi...ila tungekuwa na kipato cha kutosha wengi wetu tungenunua hizo Samsung na iphone pro max🐒

Hizi fani za watu mkuu. Nimeshasema hapo juu kuna raia wanakusanya mshahara wa miezi mitatu akachukue simu.

Sawa na mimi nipo radhi nilale chini, nitandike mkeka tu ila niwe na mziki.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…