Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Na hiz ndo true colors za jinsia hii pendwa..tutafanyaje sasa...
Jana tu hapo nmetoka kumuahidi x wangu wa kitambo sana kuwa aje achukue television akaweke kwenye liquor store yake mpya kakubal ila hatak kuja kuichkulia nyumban...wakat yeye ndo kalia shida...kupokea mnataka kutoa hamtak.hahhah
Sasa sii kashakuwezesha na ulishazitumia unamwambia ukweli tuu kuwa nilishazituma home kwenye ujenziKwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Tabia hii ya kupenda kusaidiwa tuu bila kupenda kusaidia si yako peke yako ni ya wanawake karibu asilimia 80% wewe huyu ni mtu wako ametoka kukupa hela majuzi na anajua kakupa na bila shaka amepatwa na shida na fikira zake wewe unaweza saidia maana alikupa hela na pengine anajua bado hujatumia zote....Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Mkiambiwa mna ubinafsi mnakuwa wakali. Huyu kaka akikupiga tukio akisepa utamlaum nani kw roho yako hii?Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
hahahaha, wako kimaslahi zaidi, pesa mbeleNa hiz ndo true colors za jinsia hii pendwa..tutafanyaje sasa...
Jana tu hapo nmetoka kumuahidi x wangu wa kitambo sana kuwa aje achukue television akaweke kwenye liquor store yake mpya kakubal ila hatak kuja kuichkulia nyumban...wakat yeye ndo kalia shida...kupokea mnataka kutoa hamtak.hahhah
Unavyo sema ubahili una msumbua Una kosea ata kuwa kashajua ume tuma kwenu kwenye ujenzi Wakati kwao wazazi wake na ndugu zake wanaishi nyumba za tope, wanawake hacheni kutorogaKwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Vip lkn una chura.Asanteni kwa ushauri nimemtumia milioni moja na imani itamtosha kwa kipindi hiki.
Yaani unaita 2.5M hela kidogo huku unaombwa utoe 1.5M huna?Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.