Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

Unapenda kupokea lakini hupendi kutoa. Yaani roho inakuuma kurudisha hata nusu ya pesa ambayo yeye mwenyewe amekupatia? Wewe ni chuma ulete na kwa kifupi hujampenda yeye bali umependa pesa zako na siku ukimaliza matatizo yako utamkimbia[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Anahisi unataka aje umfanye nini?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 

Unapimwa
Jichanganye ukatae ndo utajua huko mbeleni kama utapendwa tena au utapewa hata senti.
 
Alikuwa anakupima imani km unafaa kuwa mke. Hayupo mwanaume anayeweza kukupa kiasi hicho cha hela halafu ashindwe kuwa nayo 1.5M
Si umemuazima, atakaa kimya aone utakavyoreact. Siku ya kuomba, atakuambia hana, aone utakavyochukulia. Ukikasirika, kununa na kuhamaki.
Unapigwa chini mchana kweupe. Huwa tunahitaji mwanamke atakayetupenda kwenye shida na raha.
Asanteni kwa ushauri nimemtumia milioni moja na imani itamtosha kwa kipindi hiki.
 
Msaada gani huo sasa!! Si bora ubaki na tv yako[emoji2297]
 
Inawezekana kweli kapata dharura na amekwama msaidie mpenzi wako.
 
Na akitaka kuja kuchukua kwako atakuja na rafiki yake

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wanawake Wabinafsi sana, Yani Jamaa kakupa 2.5 Mil. Ila Anasema kapata shida Hutaki Kuamini sababu kwenu Kuna Ujenzi Eboooo Inamaana kwenu ndo Binadamu ila Kwao Jamaa sio Binadamu, Hayo sio Maisha na Hiyo ni roho ya Kichawi tu, Unadhani Shida ya Kwao ingeanza kabla hajakupa unadhani Ungepata hiyo pesa au angepeleka kwao Direct

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu mchoyo hawezi elewa...unapenda kupokea tu ila vyako hutaki viliwe[emoji848]

Tabia chafu sana hii
Wanawake wachoyo hawafai kabisa ..yan yeye anataka kupokea tuu ..huo ubinafsi wa hali ya juu sana ,hawana sifa ya kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…