Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

Asanteni kwa ushauri nimemtumia milioni moja na imani itamtosha kwa kipindi hiki.

Aaaah wapi ww ni kichwa maji akili yako ni finyu badilika hauna sifa ya mke bora angali umejaa ubinafs
 
Uchoyo huo, hata haukupendezei!
Hahhaha.mkuu nyie mmezid uchoyo..yan unakuta nakupa hela leo..kesho tunaeza kuwa ndan nakuomba buku mbili uniwekee bando unagoma unasema nakuwekea ila utanilipa
 
Ushauri ni mgumu bila kujua mko muda gani kwenye mahusiano. Kama muda ni mrefu je hiyo ni mara ya kwanza? Kama huwa anafanyaga hivyo huna haja ya kuwa na wasiwasi. Kama ni muda mfupi unayo sababu ya kushutuka maana huenda alikupa pesa ila baade akili yake ikamtuma alikosea kukupatia. Kwahiyo ni kama njia ya kupunguza maumivu na huyo hamutaweza kudumu kwenye mahusiano.
 
Hahhaha.mkuu nyie mmezid uchoyo..yan unakuta nakupa hela leo..kesho tunaeza kuwa ndan nakuomba buku mbili uniwekee bando unagoma unasema nakuwekea ila utanilipa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa si nakuwa nishaitumia jamani, nakupa nini tena[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha wee, unajua kutumia fursa.
 

Sijajua wengine wamekushauri vipi ila hata kama huna tafuta mpe, hata ingekua mimi ningempa ila roho ingeniuma niwe mkweli maana nisingeweza kuja kumdai!!

Inawezekana anakupima au kabanwa kweli....
 
Hapo anakupima kama wewe ni wife material au ni bwege tu, na hamuwez fanya kitu chochote katika maisha wewe leo kakupa kesho huna mwanamke gani sasa et unasema ubahiri. Mwanaume anapenda mwanamke mwenye nidham ya pesa na anaejitambua utaachwa f@la ww.
 
Wacha wee, unajua kutumia fursa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni kutumia ubongo kwa usahihi,, lengo la kunijulisha yote hayo ilikuwa ni nini, ilhali anafanyaga miamala yake mingine pasipo mimi kujua nikajiongeza tu ulikuwa mtego,, mitego ni mingi mno na hata leo naweza kutegwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
inaitwa both teams to score hiyo..
 
Mwakuliwa in the context! Pesa kidogo 2.5M tone ya sms yako na attitude haifanani na majidai yaliyo kwenye maudhui.

Mwakuliwa anataka project ndefu ila wewe ni Mwakulakula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…