Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tayar umeshavuka mtego.
 
You are one in a million. Noelia Nadhani jamaa ameshalitambua hilo.
 
Mwakuliwa in the context! Pesa kidogo 2.5M tone ya sms yako na attitude haifanani na majidai yaliyo kwenye maudhui.

Mwakuliwa anataka project ndefu ila wewe ni Mwakulakula tu.
Watu mnajua fasihi sana kuchambua dhima ya mada, hahaha..
 
😍😍😍 Shukrani Sana, tunajitahidi kubembelezana tusogeze haya maisha
Upendo ni kitu chenye baraka sana, kama mwanaume atampata mwanamke wa aina yako. Nimpongeze jamaa kwa bahati aliyopata kwa sababu amepata mwanamke mwenye roho ya kuridhika, kwa mwanamke mwingine ingekuwa big deal kupewa 50k kwa ajili ya Christmas.
 
Tabia za kimachame hizi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Upendo ni kitu chenye baraka sana, kama mwanaume atampata mwanamke wa aina yako. Nimpongeze jamaa kwa bahati aliyopata kwa sababu amepata mwanamke mwenye roho ya kuridhika, kwa mwanamke mwingine ingekuwa big deal kupewa 50k kwa ajili ya Christmas.
Ukishajua nafasi yako wala hivyo vitu havikusumbui, mitego ni mingi nayopewaga bahati njema sina papara na tamaa, mi mwanaume, akinipa mapenzi, matunzo muhimu inanitosha, hayo mengine hayanishtui,
 
Hapa wanaume ndo tunapokwama..huwa tunafanya mambo mengi ili kuwafurahisha Hawa viumbe wanawake...tunasahau kuwa wanawake Ni wasaliti tangia enzi na enzi...samson kwa delila..Adam kwa Eva...hata umjengee ghorofa mwanamke hawez kuja kukuheshimu
 
Upendo ni kitu chenye baraka sana, kama mwanaume atampata mwanamke wa aina yako. Nimpongeze jamaa kwa bahati aliyopata kwa sababu amepata mwanamke mwenye roho ya kuridhika, kwa mwanamke mwingine ingekuwa big deal kupewa 50k kwa ajili ya Christmas.
Mkuu kwani 50k kwaajili ya sikukuu sio big deal? Ama kweli JF kila mtu ni tajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa wanaume ndo tunapokwama..huwa tunafanya mambo mengi ili kuwafurahisha Hawa viumbe wanawake...tunasahau kuwa wanawake Ni wasaliti tangia enzi na enzi...samson kwa delila..Adam kwa Eva...hata umjengee ghorofa mwanamke hawez kuja kukuheshimu
Naunga mkono hoja mkuu, unajua mwanamke hata umfanyie nini atakusaliti tu na ndio maana huwa nikiingia kwenye mahusiana nitafanya ninacho kiweza na sio kwa kumridhisha.
 
Alafu mkiitwa wabinafsi mnaona mnaonewa! angekuwa mbahili angekupa hiyo hela?
 
Juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa..... wanaume tuna kazi kubwa sana hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…