Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

Walewale mnaodhani cha ku offer ni Pussy tu daadek yaani pesa akupe yeye unaona nongwa kumpa
 

Wewe muahidi kuwa ukipata utampa.
 
Mkuu kwani 50k kwaajili ya sikukuu sio big deal? Ama kweli JF kila mtu ni tajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani hukunielewa. Nimemaanisha mwanamke mwingine angejisikia vibaya na kuweka kinyongo kwamba mpenzi/mume wake amempatia yeye 50k ya sikukuu na kutumia pesa kubwa zaidi kwa ndugu zake. Nadhani unaelewa wanawake wengi kwenye issue za kifedha wanakuwa wabinafsi.
 
Itakuwa haamini hata binti 2 kutumia zaidi ya 1m kwa ajili ya kusherehekea sikukuu,, mmoja alinunuliwa viatu kwa dollar 200, mwingine alikatiwa flight kwenda kula sikukuu na mama yake na kurudi chuoni, hatufanani uwezo, lakini mimi nilipewa elf 50 Tena huku ananiambia hayuko vizuri kifedha,
 
Nawaza tu kama ungeombwa hela uliyoitafuta kwa jasho lako....

So sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…