Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

Chifu Songea

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
30
Reaction score
46
Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo.

Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona zikiwa kwenye usajili wa magari, nazo ni O na I. Kulikoni hizi huwa haziwekwi?

Mfano T 123 ABO, au T 124 ABI. Naomba kujuzwa wanajamvi.
 
Back
Top Bottom