Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
JF wasaalam,
Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia Tanzania hadi ndani vijijini kusaka mazao.
Hofu yangu ni watanzania wazawa ambao nao pia ni wafanyabiashara. Kwani ushindani unakuwa ni mkubwa sana ukilinganisha watu wa Nje mitaji ni mkubwa nitatoa mifano.
Nimeona wakenya wakinunua dengu hawa wao hadi kisukuma washakijua wanaoingia vijiji vya ndani ndani huko kuzisaka!
Pia wanakuwa na bei yao ya juu kulinganisha na wazawa!
Juzi nimekutana na waganda na wanywaranda wakinunua nyanya mashambani huko vijijini. Ukweli kwa wakulima wanafaidila sana lakini hawa wafanyabiashara wazawa sidhanu kama wataweza huu ushindani.
Pia nilitaka kujua je kwa nchi zao hawa wenzetu mtanzania anaruhusiwa kwenda nchi za wenzetu vijijini huko kusaka mazao?
Sheria ya Nchi yetu iko wazi namna hii?
Binafsi ningependa wakuja hatukatai kuja ila wawe wanachukulia masokono au mpakani sio wao nao waingie vijijini kusaka.
Mimi kama mkulima ukweli na faidika sana na wafanyabiashara wa kigeni lakini pia nawaza juu ya wazawa.