wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Kweli mkulima alalamike mazao yke kununuliwa Kwa Bei ya juu et kisa kuwaonea huruma wafanya biashara wanzawa, nasemaje wew ni malanguzNjoo pm nikupe induction Kwa kina. Huo ugunduzi umeufanyia hapa hapa jf au umegunduaje? Ungekuwa Dr ninyi ndo Huwa mnafanya operation ya pumbu badala ya pua.