Kenya ndio inatambulika kwa kiswahili. Hata inapotokea ukapata kazi ya localization ambapo hawajaspecify kisw cha nchi gani wana expect localization itatumia kisw cha kenya.Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia kubwa
Hiyo siyo mara kwanza kuna sehemu nyingine niliwahi kukuta Kiswahili imewekewa bendera ya Kenya .Hii kitaalamu imekaaje kwa nini Tanzania isitambulike ?
Kapicha cha kusindikizia uzi hakoView attachment 2150133
Naona mnaanza kumchokoza Bi Mikopo. Mmesahau kichapo cha Ukraine, au?Kwani hujui hata mlima kilimanjaro upo kenya?
Badala ya kukasirika na kulalamika tujiulize tumefail wapi? Kenya ni kati ya nchi 5 maarufu zaidi AfrikaWaache upuuzi tutawasukumia nondo marindani, wameanzaje kupora lugha za watu na kusema zao?
mkuu Nafaka naweza kuja PM!?..Badala ya kukasirika na kulalamika tujiulize tumefail wapi? Kenya ni kati ya nchi 5 maarufu zaidi Afrika
Hapo hajamaanisha kwamba Lugha ya Kiswahili inatoka Kenya, amemaanisha App hiyo imeunganishwa na Kiswahili chenye ladha ya Kenya,Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .
Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia kubwa.
Hiyo siyo mara kwanza kuna sehemu nyingine niliwahi kukuta Kiswahili imewekewa bendera ya Kenya .
Hii kitaalamu imekaaje kwa nini Tanzania isitambulike?
Kapicha cha kusindikizia uzi hako
View attachment 2150133
shukrani..Karibu PM yangu iko open
Ni sawa tu, baadhi ya Apps Zina English American pekee, au English British pekee hata kiswahili Kuna Kenyan, Kiswahili Tanzania, Kiswahili Congo nk.Moja kwa moja..