ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Anayeenda uwanjan kesho anicheki DM ili nikakae nae jukwaa moja walau tupate story mbili tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swahili - EnglishYanga in English please?
Kingereza fyongo cha Haji Manara au watu wa aina yake. Inaonyesha ni calibre ipi ya watu.Rollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda. chafu za baadhi ya wanaSimba... Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...Rollers wanajua kuna Young Africans Sports Club...Haya ya Yanga SC...ni ya baadhi ya Watanzania na lugha yao ya mitandao...Mtu anayeleta habari za aina hii ana mwelekeo wa 'ugaidi'...hili ni kosa kwa mujibu wa sheria yetu ya mitandao....
Hahaha kweli Simba ni kama maji swaiba, sijui hata imeingiaje kwenye huu uzi, kwanini wasiwe Azam au KMC.Sasa hivi umeibuka mtindo wa kutunga tunga kila jambo ilimradi tu. Hizo ni habari za kutengeneza na hamna club inaeza andika hivyo.
Mwisho wa siku mtakaoamini ni nyie wafuasi wa Manara tu sababu ndio stori ambazo huwa mnapenda.
Hiyo ya mwisho imenifanya nighairi kununua jezi.
Hizo forgery za watu wa Simba. Sasa unekuwa mchezo maarufu pande zote mbili. Sheria ya mitandao inabidi ichukue nafasi yake.View attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Tutawaona uwanjani!
we babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simbaRollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda. chafu za baadhi ya wanaSimba... Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...Rollers wanajua kuna Young Africans Sports Club...Haya ya Yanga SC...ni ya baadhi ya Watanzania na lugha yao ya mitandao...Mtu anayeleta habari za aina hii ana mwelekeo wa 'ugaidi'...hili ni kosa kwa mujibu wa sheria yetu ya mitandao....
Nitashangaa kama moderators watamuacha salamaRollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda. chafu za baadhi ya wanaSimba... Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...Rollers wanajua kuna Young Africans Sports Club...Haya ya Yanga SC...ni ya baadhi ya Watanzania na lugha yao ya mitandao...Mtu anayeleta habari za aina hii ana mwelekeo wa 'ugaidi'...hili ni kosa kwa mujibu wa sheria yetu ya mitandao....
Wanafahamu kabisa kua Bongo kidume ni Mnyama tuView attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Nyie wamotomoto eti?Matusi ya reja reja haya.....ila tatizo Yanga Baridiiiiiii
we babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simba
Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
we parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
SIMBA WAZURI SANA KWENYE KUEDIT....POLENI SANA