Hii imekaaje: Mashabiki wa Township Rollers wawaita Yanga Simba's Wife (Mke wa Simba)

Anayeenda uwanjan kesho anicheki DM ili nikakae nae jukwaa moja walau tupate story mbili tatu
 
Kingereza fyongo cha Haji Manara au watu wa aina yake. Inaonyesha ni calibre ipi ya watu.
Hao Wabotswana hawawezi kuandika ushenzi huo.
 
Sasa hivi umeibuka mtindo wa kutunga tunga kila jambo ilimradi tu. Hizo ni habari za kutengeneza na hamna club inaeza andika hivyo.

Mwisho wa siku mtakaoamini ni nyie wafuasi wa Manara tu sababu ndio stori ambazo huwa mnapenda.
Hahaha kweli Simba ni kama maji swaiba, sijui hata imeingiaje kwenye huu uzi, kwanini wasiwe Azam au KMC.

Mtani huo upande una fedheha sana, karibu kwetu upate raha bhana.
 
we babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simba
 
Nitashangaa kama moderators watamuacha salama
 
we babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simba

Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
 
Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
we parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..
 
Hawa inabidi kesho wapigwe hadi wachakae, hizi dharau kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…