we parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..
sawa babu..Aisee kumbe kweli najadiliana na mtu asiyejua mambo...Kiingereza gani nimeandika hapo?? mjadala gani unauleta hapa? Yaani unaweza ukamuonesha mtu makini andiko langu hilo na kumweleza kuwa 'umetishiwa' kiingereza?!! dah..aisee...ni kweli tuna vijana wasiojua kitu, wamebaki kushabikia tu...hawajui kabisa..
Hakuna kitu kamma hicho...huyo ni shabiki wa Simba...tangu lini hao wakaandika Yanga SC?? Wao wanajua kuna Young Africans...
Hahaha mzee wa miaka ya 1954 bado unakomaawe babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simba
Hahahahaha jamaa umepiga vyombo nini??Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
Hahah babu bado una mkazia show mjukuuwe parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..
Hahahah jamaaa ume surrenderAisee kumbe kweli najadiliana na mtu asiyejua mambo...Kiingereza gani nimeandika hapo?? mjadala gani unauleta hapa? Yaani unaweza ukamuonesha mtu makini andiko langu hilo na kumweleza kuwa 'umetishiwa' kiingereza?!! dah..aisee...ni kweli tuna vijana wasiojua kitu, wamebaki kushabikia tu...hawajui kabisa..
sawa babu..
babu mtata balaa..shabiki wa yanga uyo ana moto hatari...kesho sasa ndo kuna kukata mzizi wa fitinaHhahaa ukaona umuite babuHahaha mzee wa miaka ya 1954 bado unakomaaHahahahaha jamaa umepiga vyombo nini??Hahah babu bado una mkazia show mjukuuHahahah jamaaa ume surrender
Ni kweli Sisi wananchi ni mke halali wa Simba au kuna MTU anabisha??View attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Muanzisha uzi huyo ndio kafanya tuwashushie lawama.Hahaha kweli Simba ni kama maji swaiba, sijui hata imeingiaje kwenye huu uzi, kwanini wasiwe Azam au KMC.
Mtani huo upande una fedheha sana, karibu kwetu upate raha bhana.
Hahahaha neno "mke" linaonekana dhaifu sana, angeandika "mume" wala kusingekua na majambo.Muanzisha uzi huyo ndio kafanya tuwashushie lawama.
Nishauzowea huu upande Swahiba. [emoji28][emoji28]
Akili za Yanga hizi,sasa umejibu ninihuwezi ukajiita OKWI halafu BOBAN hapo hapo ukajiita tena SUNZU! huwezi!
huyu ni muuza pafyumu za kuulia kunguni,chawa "ANAKUJA MANARA"
View attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Yanga in English please?
huwezi elewa sababu we ni mkia tuAkili za Yanga hizi,sasa umejibu nini
Binamu hongera...na kiongezo Cha Eidd Mubarak wa Minna alfaiziinaMuanzisha uzi huyo ndio kafanya tuwashushie lawama.
Nishauzowea huu upande Swahiba. π π
Ahsante Binamu! Ndio tunaanza maandalizi huku.Binamu hongera...na kiongezo Cha Eidd Mubarak wa Minna alfaiziina
BilBaraka...usisahau kuchinja kondoo mbuzi ngamiaAhsante Binamu! Ndio tunaanza maandalizi huku.
kawaida yaoNa kufoji pia hawajambo