Hii imekaaje mwanaume kunywa uji

Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana

Heeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ko wale mabodaboda wanaokunywaga uji jioni kwenye vijiwe vyao unawachukuliaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe boya kweli..yani uji walishe..mchanganyiko wa ulezi..ngano..mchele..mahindi..mbegu za maboga..soya..mtama.

Huoni ni lishe kamili kwa mwanaume mpambanaji..ndio mana mnakufa mapema kwakuwaachia wanawake lishe nzuri huku ninyi mkinywa vichai.

Mimi siwezi kwenda job bila kunywa uji wa lishe..nikirudi usiku kabla ya kulala na kunywa maziwa fresh nusu lita.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katika jitihada la kumiliki jina la uanaume , wanaume wengi tunakwenda kaburini mapema .

Ukiwa mwanaume unatakiwa usile sana , usilie , ujikaze hata kama unaumia ,ufanye kazi ngumu ngumu ect ,

Hii attitude ya kukumbatia uanaume ndo njia sahihi kabisa inayotupeleka kaburini mapema.
 
Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Uji ni kinywaji cha watu wenye familia stable, na wanaoheshimika kwa sababu hunywewa nyumbani.

Kahawa ni kinywaji cha watu wenye familia legelege hukimbia majumbani mwao kwenda kupoteza muda vijiweni.

Chai ni kinywaji cha watoto wa shule.
 
Safari njema huko mwendako!
 
Wamasai wakichinja mbuzi au ngombe utumbo wote unapelekwa kwa wanawake wanaume wanakula minyama tu
Sasa imebainika kuwa utumbo wanaopewa kina mama ndio muhinlmu kuliko hzo nyama kwa kuwa ndio Zina dawa ndani yake muhimu Sana kwa afya hata ukiangali wabib wanadumu Sana kuliko wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…