Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
- Thread starter
-
- #21
naona nimechelewa si kiherehere ni kuonyesha unajali siziga hujambo lakini habari za ntwara??
sometimes unawezakuwa walikupigia hukupatikana. Its ok and very professional kuulizia. Ila sasa usije ukaulizia kama mtoto mdogo. Waulize when do they think watakuwa ready, na iwapo hujawasikia when next can you check with them again.
aende phisically tena ahakikishe anaonana na senior personel officer kwa sababu kinachofanyika ni kwamba wakati mwingine mtu anapewa jukumu la kumpigia simu. Huyo mtu kama anataka kumpa hiyo kazi mtu mwingine anaweza kureport kwa boss kuwa hampati kwa simu. Baadae boss anasema basi mpigieni yule mwingine, hapo ndio jamaa anaingiza mtu wake.
asipoteze muda, kama ni jirani aende, kama ni mbali apige simu kuulizia.nadhani ndiyo maana hasa ya kupeana mawasiliano!
Kazi za siku hizi haziaminiki, unaweza kuta jamaa kawahonga huko, yuko katika process za kukupora nafasi, bora umfumanie kenye makorido kabla hajakuharibia zaidi!
asipouliza ataonekana hayupo serious huenda ni mtego kujua kama ni mfuatiliaji au la. Hapo hakuna jinsi awapigie simu au aende kabisa kuwauliza.
update
nimeyachukua mawazo yenu yoooote....nimemjlisha jamaa, na fasta akawapandia hewani, kumbe bossi kapata dharura na kasafiri na wamedai atarudi kesho kutwa na atakamilisha kila kitu.
Thankx all. My regard jf