Hello, wanaJF;
Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo.
Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono, kwahyo wao pia wanavyoendelea kuutumia inamaana nao wanaangalia ....