Mkuu unaharibu sasa. Unataka mbinu za vita hadharani. Njoo PM. Moderator futa huu uzi tafadhali.Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
Fafanua tafadhaliKuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
Ukitaka kuagiza shurti upige bei ya kununua iwe mara mbili ndipo utaweza kuligusa gari lako.
Alisikika mtu mmoja akitoa ushauri kwa wanaoagiza magari[e
Na ikitokea nimenunua kwa bei ndogo kuliko iliyo kwenye system yao inakuwaje?Watatumia the highest number kati ya system au invoice kwa ajili ya calculation ya kodi.
Ndio watatumia value ilipo kwaenye kikokotoo Chao, punguza sauti wasikusikieKuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.