Hii imekaaje wakubwa

Hii imekaaje wakubwa

Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
Inaweze ikawa Jamaa anaekula bure anamhudumia zaidi,

Mfano wewe umenunua gari la pesa ndefu ukampa mwanamke km zawadi anapokua safari mara gari inapata itirafu anakuja Fundi kumrekebishia, kwa mwanamke hapo mtu mwenye thamani zaidi kwake ni Fundi aliemrekebishia gari sio wewe ulietumia pesa zako kumnunulia gari

Kwa hio usishangae endelea kujifunza
 
Duh...

Ila nimewahi sikia kwamba hawa wapinzani wetu unaweza ukamfungulia duka la mtaji wa mil 2,akawa anauza ila utakuta we haoni thamani yako ila mteja anayekuja Kununua sigara ya sh 100
 
Ewaaa kuna Jamaa aligundua hicho kitu mwanamke alipigwa vibaya Mpaka leo ana mapengo ila hawajaachana
 
Mtoa mada Kuna maneno Yanakufunga .
Unajikuta unajizungumzia bila kujua😂😂
Jinsia yako nayo Gumzo.
Inshort mwanetu umechanganywa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom