Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Ndoa ni unganiko la wawili wapendanao. Dini ni upuuzi tu made by a manHabari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali katoliki yeye mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya uislam mume anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Kwani dini ni nini? Jibu la haraka ni Imani au itikadi fulani hivo si ajabu. Siyo lazima wote wawe na fikira na mtizamo mmoja.Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Kwa mfano mume anamwambia mke asitembee kichwa wazi na mke anasema kanisani hatufundishwi hivyo huoni kama kutakuwa na mkanganyiko?Kupanga ni kuchagua Mkuu kwaiyo wameamua iwe ivyo maana Mungu ni Moja
Kwa mfano mke akiwa anapenda nguruwe na mume ni muislam huoni hapo kutakuwepo na shida?Kwani dini ni nini? Jibu la haraka ni Imani au itikadi fulani hivo si ajabu. Siyo lazima wote wawe na fikira na mtizamo mmoja.
Ya kaisari muachie kaisari ya Mungu mpe mungu!Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Haiwezi kuwa shida kwa sababu kabla ya ndoa wote walijua hilo. Kwani hakuna wanaume wa kiislam au wanawake wa kiislam ambao wanadate? Na wanakuta wakati mmoja ametoka kula kitimoto na wana kiss? Hakuna waislam ambao ni wapish au Machef wanao andaa PORK kwa ajli ya wateja wao? Hakuna waislam wanasave Wine na pombe kwa wateja wao?Kwa mfano mke akiwa anapenda nguruwe na mume ni muislam huoni hapo kutakuwepo na shida?
Walifunga za kawaidaHaina shida, huenda wamefunga ndoa ya kiserikali bomani..!
Walifungia wapiWalifunga za kawaida
Mi naona sio sahihi hata watoto watashindwa waabudu hapo ndo unakuta kwenye familia wengine wanasali kiarabu wengine kiebraniaHaiwezi kuwa shida kwa sababu kabla ya ndoa wote walijua hilo. Kwani hakuna wanaume wa kiislam au wanawake wa kiislam ambao wanadate? Na wanakuta wakati mmoja ametoka kula kitimoto na wana kiss? Hakuna waislam ambao ni wapish au Machef wanao andaa PORK kwa ajli ya wateja wao? Hakuna waislam wanasave Wine na pombe kwa wateja wao?
Hivo mimi sioni shida yoyote hebu chukuwe mfano wale great great grandfather ambao walifariki kabla ya ukristo na uislam kuingia nchini kwamba wao hawana tena nafasi huko peponi au mbinguni kweli?
Yule wa kwanza msikitini wa pili kanisaniWalifungia wapi
Walikuwa wanaabudu kwenye dini mojaMwanzo waliaanzaje
SawaYa kaisari muachie kaisari ya Mungu mpe mungu!
Walifunga za kawaida
Bwana mdogo huu uzi ni wawatu wazima kama huna cha kuandika kunyamanza nako ni busara zaidiUmbea tu