Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta mungu, hizo pang'ang'a zingine hazina maana
 
Hakuna ndoa hapo
Ndoa ipo kisheria "presumption of marriage"
Kidini ndoa hakuna.
Ni kheri hao ndugu washauriwe waende Kwa mkuu wa wilaya kufunga ndoa ya kiserikali ili kuweka sawa nyaraka kuhusu ndoa zao.
Tuseme mmoja wapo ametangulia mbele ya haki unataka kumzika Kwa dini yako mliyofunga ndoa si kunaweza kutokea utata?
Kwa hiyo ni kheri waende Kwa mkuu wa wilaya wakafunge ndoa ya kiserikali na kufuta ndoa zao za kidini ili kila mmoja afurahie dini yake hata ikitokea ametwaliwa azikwe Kwa dini yake bila utata.
 
Utata huwa tunautengeneza sisi wenyewe kwasababu ya ujinga wetu tu, kwani kabla ya kuja hizi dini wazee wetu walizikwa vip!?
 
Sasa mkuu ndio dini zimeshaingia na wengi wanaziabudu na zipo hadi kisheria hatuwezi kuzikwepa
 
Back
Top Bottom