Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Huko wapi? Unakujua ? Huko huendi kwa cheti cha dini, unaenda na matendo yako
Huyo hana pepo, kwa sababu hana imani (dini), huyo Case yake inaisha chapu ktk mahakama ya Allah, uislamu ni dini simpo sana, na kila kitu tumefundishwa
 
Huyo hana pepo, kwa sababu hana imani (dini), huyo Case yake inaisha chapu ktk mahakama ya Allah, uislamu ni dini simpo sana, na kila kitu tumefundishwa
We jamaa huu uzi siyo wa mambo ya peponi
 
Mkuu hebu kuwa great thinker, kwanini ukisemwa ukweli huwa una uma?, pepo ipo through dini only, ukioa mkristo usiseme wewe ni muislamu
Una matatizo ya akili wewe
 
Kwa mfano mume anamwambia mke asitembee kichwa wazi na mke anasema kanisani hatufundishwi hivyo huoni kama kutakuwa na mkanganyiko?
Hapo mme atakuwa analazimisha mke aabudi anako abudi baba. Kumbuka kufunika kichwa kwa baadhi ya dini ni ibada
 
Mume na Mke kuwa dini tofauti ni changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba hao wote hawaithamini dini. Ni watu holela. Siku mmojawapo atakapoanza kuthamini dini yake, ndoa itakuwa njia panda
Sahihi kabisa
 
Imekaa vizuri, huenda ndoa walifunga ya serikali, watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao.
 
Habari,

Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.

Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.

Je, haiwezi kuathiri ndoa?.

Uzi tayari
Bila dini unaweza ukamuabudu Mungu muumba wa mbingu na dunia,ila kupitia dini kuna asilimia nyingi unamuabudu kaka mkubwa (👿)
Dini ni njia tu ya kukupeleka unakopataka na usipopajua,haifanyi ndoa kutokua na uhalali ama amani
 
Yule wa kwanza msikitini wa pili kanisani
msikitini au makanisani hawafungushi ndoa mtu asiyekuwa dini yao kama sio muislam anasilimishwa kwanza ndio ndoa inafungwa.
Na kama sio mkristo wanakubatiza unakuwa mkristo ndio ndoa inafungwa.
Sasa unataka kusema hao wenza wameamua kuzihasi hizo dini zao Mpya?
Kidini hapo hakuna ndoa.
Ndoa za watu wa dini tofauti mara nyingi zinafungwa kwa mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom