Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Mbona wana cheti cha ndoa
Akifa ndio Mtetezi wake kwa ALLAH (s.w) ?, uislamu uko very strong, yaani kila aki muingilia huyo mwanamke dini yake ndio ana iacha, yaani hapo huyo hana thamani yoyote kwa ALLAH, ana laaniwa na kila kitu, na pia huyo hana imani hata chembe
 
Aisee
 
Mambo madogo hayo ndo mnakataa kuwaswalia?
Sasa yeye Kwa nini anang'ang'a nia Ktk uislamu, kama unaona uislamu hakufai acha usiudhihaki, kama huyo kiongozi wa uislamu humtaki, na mafundisho yake huya taki sasa kuna aja gani ya kuwa muislamu?
 
Kunywa maji kwanza
 
Mawazo mfu
Ki umri ndoa ni kubwa kuliko Dini/Dhehebu ivyo vilifuata baada ya Ndoa. Ukilitambua ilo uwezi kuwa mshabiki wa Dini/Dhehebu.
Ila kwa maisha yetu ya kiafrica ni kesi hapo mmoja akitangulia mbele za haki lakini kwa maisha ya Ndoa sioni kama kuna shida
 
ni kuheshimiana tu. nime-date muslims girls wengi tu, na j2 ananiandalia nguo za kanisani na yeye msimu wa ramadhan nafunga nae au ata nisipo funga sili mbele yake. sijawahi ata tamka neno nguruwe mbele yake na nakula vizuri kabisa. ila nikila nahakikisha kasafiri. just respect.
Hana dini huyo, huo ndio ukweli
 
Hai
Kwa mfano mume anamwambia mke asitembee kichwa wazi na mke anasema kanisani hatufundishwi hivyo huoni kama kutakuwa na mkanganyiko?
Haikuhusu mzeee,,,,, acha kufuatilia maisha ya watu,,,😎
 
Back
Top Bottom