Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
- Thread starter
- #101
SawaSawa haiwezi kuathiri ndoa , ikiwa hayo ni makubaliano yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSawa haiwezi kuathiri ndoa , ikiwa hayo ni makubaliano yao
Mbona wana cheti cha ndoaHamna ndoa hapo, hao wote wana zini
Asante kwa ufafanuzi
Huko ana ipata pata, ndio maana masheikh wanasusia ku mswalia maiti alafu ndugu eti wana hamaki mambo yenyewe kama hayaBaba J na mkewe walikuwa mmoja mkristo mmoja mwislamu, walikuwa very peace mpaka huyo baba alivyoitwa na Mungu mwaka jana.
Ni makubaliano tu.
Mambo madogo hayo ndo mnakataa kuwaswalia?Huko ana ipata pata, ndio maana masheikh wanasusia ku mswalia maiti alafu ndugu eti wana hamaki mambo yenyewe kama haya
Huko wapi? Unakujua ? Huko huendi kwa cheti cha dini, unaenda na matendo yakoHuko ana ipata pata, ndio maana masheikh wanasusia ku mswalia maiti alafu ndugu eti wana hamaki mambo yenyewe kama haya
Akifa ndio Mtetezi wake kwa ALLAH (s.w) ?, uislamu uko very strong, yaani kila aki muingilia huyo mwanamke dini yake ndio ana iacha, yaani hapo huyo hana thamani yoyote kwa ALLAH, ana laaniwa na kila kitu, na pia huyo hana imani hata chembeMbona wana cheti cha ndoa
AiseeAkifa ndio Mtetezi wake kwa ALLAH (s.w) ?, uislamu uko very strong, yaani kila aki muingilia huyo mwanamke dini yake ndio ana iacha, yaani hapo huyo hana thamani yoyote kwa ALLAH, ana laaniwa na kila kitu, na pia huyo hana imani hata chembe
Sasa yeye Kwa nini anang'ang'a nia Ktk uislamu, kama unaona uislamu hakufai acha usiudhihaki, kama huyo kiongozi wa uislamu humtaki, na mafundisho yake huya taki sasa kuna aja gani ya kuwa muislamu?Mambo madogo hayo ndo mnakataa kuwaswalia?
Kunywa maji kwanzaSasa yeye Kwa nini anang'ang'a nia Ktk uislamu, kama unaona uislamu hakufai acha usiudhihaki, kama huyo kiongozi wa uislamu humtaki, na mafundisho yake huya taki sasa kuna aja gani ya kuwa muislamu?
PwoiintiNdoa ni unganiko la wawili wapendanao. Dini ni upuuzi tu made by a man
Sasa mkuu uislamu una nguzo 5, sasa huyo afanyi hata moja na unatakiwa ufanye zote, nguzo za Imani ni 6 pia hafanyi zote pia, sasa huyu tumuweke wapi ktk uislamu??Aisee
Point ya ushuzi, awe mpagani tuPwoiinti
Ki umri ndoa ni kubwa kuliko Dini/Dhehebu ivyo vilifuata baada ya Ndoa. Ukilitambua ilo uwezi kuwa mshabiki wa Dini/Dhehebu.
Ila kwa maisha yetu ya kiafrica ni kesi hapo mmoja akitangulia mbele za haki lakini kwa maisha ya Ndoa sioni kama kuna shida
Jamaa huu uzi sio wa matusiPoint ya ushuzi, awe mpagani tu
Hana dini huyo, huo ndio ukwelini kuheshimiana tu. nime-date muslims girls wengi tu, na j2 ananiandalia nguo za kanisani na yeye msimu wa ramadhan nafunga nae au ata nisipo funga sili mbele yake. sijawahi ata tamka neno nguruwe mbele yake na nakula vizuri kabisa. ila nikila nahakikisha kasafiri. just respect.
Haikuhusu mzeee,,,,, acha kufuatilia maisha ya watu,,,😎Kwa mfano mume anamwambia mke asitembee kichwa wazi na mke anasema kanisani hatufundishwi hivyo huoni kama kutakuwa na mkanganyiko?
Hapo mbinguni unashikilia kitengo gani mkuu?
Haikuhusu mzeee,,,,, acha kufuatilia maisha ya watu,,,😎Kwa mfano mume anamwambia mke asitembee kichwa wazi na mke anasema kanisani hatufundishwi hivyo huoni kama kutakuwa na mkanganyiko?
Matendo yapi?, hayo ya kuzini ndio uingie peponi?, thubutuHuko wapi? Unakujua ? Huko huendi kwa cheti cha dini, unaenda na matendo yako
Hai
Haikuhusu mzeee,,,,, acha kufuatilia maisha ya watu,,,