jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Muhimu mapenzi. Dini siyo issue. Mie mfano.Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Nawatakia kila la kheri hao COUPLES💪🙏