Hii imekaaje wakuu sperm inakua kama kamba

Hii imekaaje wakuu sperm inakua kama kamba

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
hi wakuu
Naona mazigizaga tu kwa upande wangu nimepeez kwanza sperm inatoka kawaida ila kadri zinavyotoka zinakua na hali tofauti mara iwe kama imeganda flan hiv na kuvutika kama gundi ya karatasi zile nyeupe
alafu nyingine mwishoni zinabak ktk mrika nikivuta inavutika kama thread ndefu tu
Bado sijamuona doctr naona nianze na wahumu kwanza
hii ipoje kwa anaefahamu
 
Back
Top Bottom