Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
 
Ni kawaida tu jombaa, mademu wa kishua wanafunguka live bila chenga.

Confidence levels zao ziko juu.

Be mindful kwamba ukizingua una mwagwa vizuuri tu. Karibu mjini
Hatari sana! Meaning hata wao pia wanaweza kuwa na tabia kama za wanaume...I mean wanaweza kukuchezea afu wakimaliza haja zao wanakuacha au sio?
 
Back
Top Bottom