Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
Kwa zama za Sasa hiyo ni kawaida san
 
Mtoa mada pamoja na wote wanaotoa ushuhuda wa kutongozwa na wanawake inaonekana sio watu wa mademu yani inawatokea mara kwa mara afu inaangukia kwa watu ambao hawapendi kabsa mademu, hahahaha this is JF....waje wengine watoe ushuhuda wa tofauti, nategemea aje mtu aseme bahati ilimwangukia afu akawanyoosha kwelii kweli, inakuaje wote wanaoangukiwa na hii bahati sio watu wa totoz?! Coincidence or?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha
 
Back
Top Bottom