Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.
Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.
Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.
Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake......
Nnunu,
Huyo dada mwenye kiherehere ni hatari zaidi ya tsunami...! Anatafuta nini kwa mume wa mtu?
Yaani mimi hata sielewi. Hata kama Ex wangu alinipa limbwata lakini anatakiwa amuheshimu mke wangu...Hata kama ni mbaya kiasi gani, hana ruhusu ya kumwingilie mama mwenye nyumba. Ahangaike na yake.
Halafu unaweza kukuta anijipendekeza kwa ex wakati mume hamfanyii kitu chochote cha maana!