Hii imekaaje wapendwa

Hii imekaaje wapendwa

Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.

Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.
Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.

Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake......

Nnunu,

Huyo dada mwenye kiherehere ni hatari zaidi ya tsunami...! Anatafuta nini kwa mume wa mtu?

Yaani mimi hata sielewi. Hata kama Ex wangu alinipa limbwata lakini anatakiwa amuheshimu mke wangu...Hata kama ni mbaya kiasi gani, hana ruhusu ya kumwingilie mama mwenye nyumba. Ahangaike na yake.

Halafu unaweza kukuta anijipendekeza kwa ex wakati mume hamfanyii kitu chochote cha maana!
 
Hapana, its not right!

Yah this is not wright nakubaliana na ww. Upo uwezekano kabisa bado wana mahusiano ya karibu maana mpaka kuandaa birthday imeenda mbali. Angeweza kumpigia simu tu na kum-wish happy birthday ingetosha lakini mpaka kudiriki kuandaa is too far!
 
Dark city,
upo sahihi sana ,hasa hapo uliposema anajipendekeza kwa EX wakati mume wake hamfanyii chote,,,,
 
CHAKE KINAMSHINDA KUTUNZA ANAJIFANYA ANA UCHUNGU SANA KUTUNZA CHA MWENZIE........kama alivyosema mpasua majipu kumpigia simu ya HP BIRTH DAY ingetosha lakin siyo eti kuandaa party......na ashukuru mwenye mume mstaarabu lakin angekuwa mtu mwingine mmmh!! pangechimbika hapo angejuta kumwandalia party EX...
 
mhh!!!

Mimi naomba niulize, huyo mme wa huyo dada aliyeandaa sherehe naye alikuwepo??? Ninavyojua wanaume walivyo na wivu,,,,yaani anakuruhusu umwandalie ex wako sherehe???!!! Mhhh...hapo napata maswali!!!

hata mi siwezi kuruhusu kitu kama hichi.

Kwa kweli hii imekaa mbaya..kwanza huyo mke cha kutokumbuka birthday ya mwenzie?
Na hao wawili kufanyiana besdei pati inahusu?kwanini na wameanzaje na wanawasiliana ili iweje hata kama hamkugombana
wote wana mume/mke kwanini uhangaike na ex?
na huyo mdada mumewe angekuwepo angefanya hiyo pati au ndo kutake advantage?
Kuna kakitu kanaendelea kati ya huyo mume wa mtu na muke wa mtu looh..sijapenda

Ni kweli lakini unajua hata mimi nilishituka EX mie hata kumuona huwa sitaki kabisa
 
Huku kujipendekeza kwa huyu Dada sijui Mama kwa EX wake mi SIJAKUPENDA HATA KIDOGO.

Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.

Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.

Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.

Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake...

Well said
 
Nnunu,

Huyo dada mwenye kiherehere ni hatari zaidi ya tsunami...! Anatafuta nini kwa mume wa mtu?

Yaani mimi hata sielewi. Hata kama Ex wangu alinipa limbwata lakini anatakiwa amuheshimu mke wangu...Hata kama ni mbaya kiasi gani, hana ruhusu ya kumwingilie mama mwenye nyumba. Ahangaike na yake.

Halafu unaweza kukuta anijipendekeza kwa ex wakati mume hamfanyii kitu chochote cha maana!

Hapo nakubaliana na wewe kwa jinsi nilivyoona kama anajipendekeza fulani hivi
 
Yah this is not wright nakubaliana na ww. Upo uwezekano kabisa bado wana mahusiano ya karibu maana mpaka kuandaa birthday imeenda mbali. Angeweza kumpigia simu tu na kum-wish happy birthday ingetosha lakini mpaka kudiriki kuandaa is too far!

Well said mkuu
 
HAFAI KABISA KUWA HATA RAFIKI KSB IPO SIKU ANAWEZA KUMWANDALIA MUME WA RAFIKI YAKE BIRTH DAY KWA KISINGIZIO KUWA MKE (RAFIKI YAKE) KASAHAU SHEREHE YA MUMEWE,,,,,

WATU WENGINE AKILA ZAO KAUZU KWELI KWELI............WANAJIPENDEKEZA HATA BILA KUVAA ELEMENTI USONI looo.
 
HA ha ha ha nnunu bana umenichekesha kweli nacheka kama mazuri lakini inaudhi na kuumiza sana
 
Jana nilialikwa kwenye sherehe na rafiki yangu.

Tukiwa tumekaa kwenye maakuli na kunywa kwa sana nikamuuliza rafiki yangu huyo vip mwenye sherehe ni nani yako akaniambia ni Ex wake nilishituka kidogo lakini sikuonyesha kwa sana.

Kumbe bwana kamfanyia sherehe ya kuzaliwa Ex wake wa more than ten yrs, cha kushangaza sasa wife home hakukumbuka hiyo tarehe wala kusema happy birthday my husband, pia naye alihudhuria kwenye sherehe iliyoandaliwa na huyo bidada, mdada kaolewa ana watoto wawili na jamaa kaoa na watoto watatu juu.

Wapendwa tuwe tunaachana bila kinyongo huyu mdada nilimpenda sana kwa hiyo roho yake na kumbukumbu sikumdadisi sana kwanini waliachana niliona nisijeharibu sherehe ya watu bure.

Sijui waungwana mnalionaje hili ruksa au???

Ngoja nisome alama za nyakati
 
Mi kwangu naiona kama haijatulia vile kwa sababu zifuatazo.
1. Dada huyo na x wake wamefanya kitu ambacho ni immoral kwa sababu simply sio kitu amabcho unaweza kukifanya comfotably na kila mtu akafaham, Mathalan mume wa huyo Dada kama akifaham hicho kitendo kitaeleweka kweli hata kama hakuwa na nia mbaya?
2. Si Ustaarabu hata kidogo Kwa muungwana yeyote kutoheshimu ndoa yake na ya wengine kwa sababu yeyote ile ( Hata kama hawakugombana,si vizuri kujenga mazingira tatanishi kwa jamii na wenzi wao wanaowazunguka).

Hitimisho
Pengine Ni jambo la msingi na la busara kwa binadam kujenga mazingira ya upendo na kusameheana hata kama mlikuwa wapenzi na mkaachana kwa sababu yeyote ile. Lakini ni Muhimu kutambua athari za matendo yetu kwa familia zetu na Jamii kwa ujumla bila kuwa wabinfsi na kujali tu matakwa ya nafsi zetu!! Kwa kweli si kitendo kizuri kwa maoni yangu mimi maana kinaweza kuleta sintofaham kama wenzi wao wakitambua hawa ma x wanafanyiana sherehe.
 
DC + Asprin = Mmekuwa wakali sana kwenye hili kulikoni???

Linapokuja swala la bibi yenu......Principle ni NO SHARING, NO TURN BACK, NO OLD SCHOOL DAYS....

Hivi jamani kuna mtu kanionea Nilham Rashed? Mkimwona mwambieni babu ana hamu ya kusikia comments zake kwenye hili swala gumu sana maishani.....Halafu nimemmiss sana mumwambie kabla hamjampa salamu zangu!
 
Well Said Mkuu hata mimi sijakipenda hiki kitendo
 
Linapokuja swala la bibi yenu......Principle ni NO SHARING, NO TURN BACK, NO OLD SCHOOL DAYS....

Hivi jamani kuna mtu kanionea Nilham Rashed? Mkimwona mwambieni babu ana hamu ya kusikia comments zake kwenye hili swala gumu sana maishani.....Halafu nimemmiss sana mumwambie kabla hamjampa salamu zangu!

Umenena vyema Asprin ....................
 
Hilo hata mimi nimeliona maana unakumbushwa na mtu wa more than 10yrs? Aibu ningekuwa mimi nisihudhuria kabisa
Ni kweli Dena usemayo lakini pia tuangalie na upande wa pili..........................pengine Mama huyo kuna namna ambayo maisha yake ya ndoa hayamwendei so sometimes haoni hata huo umuhimu. Au hapewi nafasi
 
Kwanini alihudhuria hiyo sherehe sasa?? Kama hakuona umuhimu wa kumuandalia mumewe na sherehe hiyo asingehudhuria basi. Mawazo yangu tu lakini
 
Sijasoma kote mpenzi but niulize tu je alipokuwa anaalikwa (au kuamrishwa na mumewe- vaa twende) alielezwa kuwa anakwenda kwenye birthday party ya mumewe aliyoandaliwa na ex-wake? Sometimes wanawake huwa tunachoreshwa sana pasipo kujijua unajua
 
Back
Top Bottom