Sijasoma kote mpenzi but niulize tu je alipokuwa anaalikwa (au kuamrishwa na mumewe- vaa twende) alielezwa kuwa anakwenda kwenye birthday party ya mumewe aliyoandaliwa na ex-wake? Sometimes wanawake huwa tunachoreshwa sana pasipo kujijua unajua
Kwanini alihudhuria hiyo sherehe sasa?? Kama hakuona umuhimu wa kumuandalia mumewe na sherehe hiyo asingehudhuria basi. Mawazo yangu tu lakini
D,
Kwa vyovyote vile, hiki kitendo ni cha kulaaniwa na wapenda ndoa wote, cheaters and non-cheaters! Waambie kuwa ni muhimu ku-drive responsively!
Sijasoma kote mpenzi but niulize tu je alipokuwa anaalikwa (au kuamrishwa na mumewe- vaa twende) alielezwa kuwa anakwenda kwenye birthday party ya mumewe aliyoandaliwa na ex-wake? Sometimes wanawake huwa tunachoreshwa sana pasipo kujijua unajua
DC bana unayosema ni kweli Cheaters, Cheaters, .................................wote washindwe katika jina la Yesu
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................D,
Kwa vyovyote vile, hiki kitendo ni cha kulaaniwa na wapenda ndoa wote, cheaters and non-cheaters! Waambie kuwa ni muhimu ku-drive responsively!
MJ1 kwanza habari za siku nyingi,
Hoja ya msingi,
Kiukweli mie sikujua alimwambiaje huyo mkewe mpaka wakaja nae kwenye hiyo sherehe maana mie nilikuwa upande wa huyo bidada mfanya sherehe maana nilipouliza mwenye sherehe nani yako nilipata msituko wa hali ya juu maana alinijibu ni EX wake na mkewe ndo yule niliishiwa ngumu my dear!
goodmorning dearDC bana unayosema ni kweli Cheaters, Cheaters, .................................wote washindwe katika jina la Yesu
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................
Ni kweli kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kusikitisha. Huyu mEX alipaswa awe na aibu ya kumwaibisha yaani yeye ametumia uwezo wake (hivi ameolewa??- kama ameolewa ametumia na resources za familia yake - which pia ni kosa lingine) kumtamanisa mume wa watu kwa madai kuwa alikuwa wake enzi hizo (nashindwa kuamini kuwa hawaendelei hawa).
Mume nae hana adabu, wala maadili. Kama anamheshimu mkewe wala asingehudhuria sherehe hiyo. Tena basi aende na mkewe??
Dena kuna ambayo huyasemi hapa, ninajikuta tu nashindwa kukonekti dots. Je
1. Kwenye hiyo sherehe kulikuwa na theme gani?? Mume aliitwa kukata keki na kuimbiwa happy birthday to yuo?
2. Reaction ya wife ilikuwaje? Au aliambiwa sherehe imeandaliwa na nani?
3. Hekaheka na mashauzi ya huyo mEX ilikuwaje wakati wa sherehe?
Bado nawiwa kujiuliza maisha halisi ya WIFE na mumewe.
Salama Dena ninashukuru. habari za Anyang' Nyong'o?
Bwana we haya mambo haya ni magumu. But frankly speaking what was the essence ya huyo bi shost wako kumfanyia EX-wake birthday party? Are they really EXes?...........................
hamna aliyeniudhi just issue ya bloodchemistry imejiset hivyo.watu husema leo nimeamkaa vibaya kimahusiano.Ha ha ha nani kakuudhi asubuhi subuhi mwambie ashindwe katika jina la yesu
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................
Ni kweli kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kusikitisha. Huyu mEX alipaswa awe na aibu ya kumwaibisha yaani yeye ametumia uwezo wake (hivi ameolewa??- kama ameolewa ametumia na resources za familia yake - which pia ni kosa lingine) kumtamanisa mume wa watu kwa madai kuwa alikuwa wake enzi hizo (nashindwa kuamini kuwa hawaendelei hawa).
Mume nae hana adabu, wala maadili. Kama anamheshimu mkewe wala asingehudhuria sherehe hiyo. Tena basi aende na mkewe??
Dena kuna ambayo huyasemi hapa, ninajikuta tu nashindwa kukonekti dots. Je
1. Kwenye hiyo sherehe kulikuwa na theme gani?? Mume aliitwa kukata keki na kuimbiwa happy birthday to yuo?
2. Reaction ya wife ilikuwaje? Au aliambiwa sherehe imeandaliwa na nani?
3. Hekaheka na mashauzi ya huyo mEX ilikuwaje wakati wa sherehe?
Bado nawiwa kujiuliza maisha halisi ya WIFE na mumewe.
Salama Dena ninashukuru. habari za Anyang' Nyong'o?
Bwana we haya mambo haya ni magumu. But frankly speaking what was the essence ya huyo bi shost wako kumfanyia EX-wake birthday party? Are they really EXes?...........................
kikiwaka ataanza samehe mara 7x70 au ni shetani tu kumbe alijipalilia mwenyeweYaani wewe umeolewa halafu unamfanyia mume wa mtu mwingine birthday party.....mhhhhh
Yaani wewe umeolewa halafu unamfanyia mume wa mtu mwingine birthday party.....mhhhhh
thanks huko sitii timu leo tena kwa heri kwa muda nahisi posts zangu leo zitanigharimu in case nikikosolewa vikali nitalipuka sanaPole pole basi usiende kule kwenye jukwa la BAN sawa?