Hii imekaaje wapendwa

Hii imekaaje wapendwa

Sijasoma kote mpenzi but niulize tu je alipokuwa anaalikwa (au kuamrishwa na mumewe- vaa twende) alielezwa kuwa anakwenda kwenye birthday party ya mumewe aliyoandaliwa na ex-wake? Sometimes wanawake huwa tunachoreshwa sana pasipo kujijua unajua

Mmmhhh ngoja mwenyewe aje atuambie ila mimi nimejibu tu kutokana na kusoma. Ila kwa comment nilizosoma nadhani kama hakuambiwa vile sina hakika ngoja tusubiri
 
Kwanini alihudhuria hiyo sherehe sasa?? Kama hakuona umuhimu wa kumuandalia mumewe na sherehe hiyo asingehudhuria basi. Mawazo yangu tu lakini

D,

Kwa vyovyote vile, hiki kitendo ni cha kulaaniwa na wapenda ndoa wote, cheaters and non-cheaters! Waambie kuwa ni muhimu ku-drive responsively!
 
DC bana unayosema ni kweli Cheaters, Cheaters, .................................wote washindwe katika jina la Yesu
 
Sijasoma kote mpenzi but niulize tu je alipokuwa anaalikwa (au kuamrishwa na mumewe- vaa twende) alielezwa kuwa anakwenda kwenye birthday party ya mumewe aliyoandaliwa na ex-wake? Sometimes wanawake huwa tunachoreshwa sana pasipo kujijua unajua

MJ1 kwanza habari za siku nyingi,

Hoja ya msingi,

Kiukweli mie sikujua alimwambiaje huyo mkewe mpaka wakaja nae kwenye hiyo sherehe maana mie nilikuwa upande wa huyo bidada mfanya sherehe maana nilipouliza mwenye sherehe nani yako nilipata msituko wa hali ya juu maana alinijibu ni EX wake na mkewe ndo yule niliishiwa ngumu my dear!
 
DC bana unayosema ni kweli Cheaters, Cheaters, .................................wote washindwe katika jina la Yesu

Kwani wewe siyo mmoja wao? Ungekuwepo enzi za Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai ungenyanyua jiwe......?
 
D,

Kwa vyovyote vile, hiki kitendo ni cha kulaaniwa na wapenda ndoa wote, cheaters and non-cheaters! Waambie kuwa ni muhimu ku-drive responsively!
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................

Ni kweli kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kusikitisha. Huyu mEX alipaswa awe na aibu ya kumwaibisha yaani yeye ametumia uwezo wake (hivi ameolewa??- kama ameolewa ametumia na resources za familia yake - which pia ni kosa lingine) kumtamanisa mume wa watu kwa madai kuwa alikuwa wake enzi hizo (nashindwa kuamini kuwa hawaendelei hawa).

Mume nae hana adabu, wala maadili. Kama anamheshimu mkewe wala asingehudhuria sherehe hiyo. Tena basi aende na mkewe??

Dena kuna ambayo huyasemi hapa, ninajikuta tu nashindwa kukonekti dots. Je
1. Kwenye hiyo sherehe kulikuwa na theme gani?? Mume aliitwa kukata keki na kuimbiwa happy birthday to yuo?
2. Reaction ya wife ilikuwaje? Au aliambiwa sherehe imeandaliwa na nani?
3. Hekaheka na mashauzi ya huyo mEX ilikuwaje wakati wa sherehe?

Bado nawiwa kujiuliza maisha halisi ya WIFE na mumewe.
 
MJ1 kwanza habari za siku nyingi,

Hoja ya msingi,

Kiukweli mie sikujua alimwambiaje huyo mkewe mpaka wakaja nae kwenye hiyo sherehe maana mie nilikuwa upande wa huyo bidada mfanya sherehe maana nilipouliza mwenye sherehe nani yako nilipata msituko wa hali ya juu maana alinijibu ni EX wake na mkewe ndo yule niliishiwa ngumu my dear!

Salama Dena ninashukuru. habari za Anyang' Nyong'o?

Bwana we haya mambo haya ni magumu. But frankly speaking what was the essence ya huyo bi shost wako kumfanyia EX-wake birthday party? Are they really EXes?...........................
 
DC bana unayosema ni kweli Cheaters, Cheaters, .................................wote washindwe katika jina la Yesu
goodmorning dear
leo nimekaa kisharishari sana sijui jioni itanikuta nikoje?
 
Yaani wewe umeolewa halafu unamfanyia mume wa mtu mwingine birthday party.....mhhhhh
 
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................

Ni kweli kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kusikitisha. Huyu mEX alipaswa awe na aibu ya kumwaibisha yaani yeye ametumia uwezo wake (hivi ameolewa??- kama ameolewa ametumia na resources za familia yake - which pia ni kosa lingine) kumtamanisa mume wa watu kwa madai kuwa alikuwa wake enzi hizo (nashindwa kuamini kuwa hawaendelei hawa).

Mume nae hana adabu, wala maadili. Kama anamheshimu mkewe wala asingehudhuria sherehe hiyo. Tena basi aende na mkewe??

Dena kuna ambayo huyasemi hapa, ninajikuta tu nashindwa kukonekti dots. Je
1. Kwenye hiyo sherehe kulikuwa na theme gani?? Mume aliitwa kukata keki na kuimbiwa happy birthday to yuo?
2. Reaction ya wife ilikuwaje? Au aliambiwa sherehe imeandaliwa na nani?
3. Hekaheka na mashauzi ya huyo mEX ilikuwaje wakati wa sherehe?

Bado nawiwa kujiuliza maisha halisi ya WIFE na mumewe.

MJ1,

Mbona iko wazi? Kitendo chochote za kipuuzi kama hicho cha ma-ex kuandaliana birthday party na ujinga mwingine kama huo ni cha kishetani na hakina budi kulaaniwa kwa nguvu zote. Hata kama wana-cheat basi watumie busara? Wanataka umma wote ujue ili iweje?
 
Salama Dena ninashukuru. habari za Anyang' Nyong'o?

Bwana we haya mambo haya ni magumu. But frankly speaking what was the essence ya huyo bi shost wako kumfanyia EX-wake birthday party? Are they really EXes?...........................

Hiyo red umenifanya nicheke asubuhi subuhi kapona kansa lakini.

Turudi kwenye mada:
Mimi nilialikwa tu (si unajua huku wenzetu ni kama London) "Nyerere aliwahi kusema if you want to go to London go Nairobi first",
Kwahiyo nikaalikwa kwenye party weekend card imeandikwa tu jina la huyo mjamaa sasa mie baada ya kufika kwenye sherehe ikabidi nimuulize huyo mwenye birthday ni nani yako akanijibu ni EX wangu duh nilishituka na kushangaa maana hata raha ya sherehe ilikwisha. Nikaishiwa maneno maana niliona si kitendo kizuri na sikuuliza mengi maana nilipatwa na ganzi ya ubongo
 
Babu Mkubwa hapa kama sijakuelewa vile........................

Ni kweli kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kusikitisha. Huyu mEX alipaswa awe na aibu ya kumwaibisha yaani yeye ametumia uwezo wake (hivi ameolewa??- kama ameolewa ametumia na resources za familia yake - which pia ni kosa lingine) kumtamanisa mume wa watu kwa madai kuwa alikuwa wake enzi hizo (nashindwa kuamini kuwa hawaendelei hawa).

Mume nae hana adabu, wala maadili. Kama anamheshimu mkewe wala asingehudhuria sherehe hiyo. Tena basi aende na mkewe??

Dena kuna ambayo huyasemi hapa, ninajikuta tu nashindwa kukonekti dots. Je
1. Kwenye hiyo sherehe kulikuwa na theme gani?? Mume aliitwa kukata keki na kuimbiwa happy birthday to yuo?
2. Reaction ya wife ilikuwaje? Au aliambiwa sherehe imeandaliwa na nani?
3. Hekaheka na mashauzi ya huyo mEX ilikuwaje wakati wa sherehe?

Bado nawiwa kujiuliza maisha halisi ya WIFE na mumewe.

MJ1 nitakujibu kwa heshima yako maana haya maswali niliyajibu toka jana:
1. Alikuwa meza kuu kakaa na mkewe na aliimbiwa happy birthday to you
2. Alikuwa meza kuu nadhani ni kama hakujua kinachoendelea vile maana alikuwa kawaida tu
3. Huyu EX alikuwa busy na chakula na vinywaji kwa wageni maana hata keki katika wale waliolishwa yeye hakuenda kabisa

Sijui nimekujibu my dear!! (Jiandae tarehe 20 -21 April nakuja kula hao bata Fairway)
 
Salama Dena ninashukuru. habari za Anyang' Nyong'o?

Bwana we haya mambo haya ni magumu. But frankly speaking what was the essence ya huyo bi shost wako kumfanyia EX-wake birthday party? Are they really EXes?...........................

Ndo maana nilishasema kuwa hawa wasidhani wanatuzuga sisi...wanajidanganya wenyewe. Kila kitu kiko wazi...hawa wanatwanga uzinzi kwa kwenda mbele kama vile hawana akili nzuri...!!
 
Yaani wewe umeolewa halafu unamfanyia mume wa mtu mwingine birthday party.....mhhhhh

Umeona TF?

Hawa wana bangi vichwani ndo maana wanadhani watu wote ni wajinga kama wao! Mwanamke aliyeandaa na huyo mume wa mtu aliyembeba mke wake nakwenda kumuaibisha mbele za watu ni mazuzu tu!
 
Back
Top Bottom