Hii imekaaje wapendwa

Tatizo la wanawake kuzoea kufanyiwa kila kitu bila kumuuliza mzee iko vipi? ndicho kilichomfanya maza house afurahie good tymes bila kujua source
 
Dena umenichekesha eti ungeondoka eneo la tukio unabaki tu hapo hapo mpaka kieleweke hawara ni hawara tu wewe ndio mke halisi cha msingi ni kujifunza usiruhusu vitu kama hivyo vitokee unajitahidi kukaba kwani uking'oa tu mguu wako kwa hasira na minuno mume anapata sababu na ikiwezekana siku hiyo asirudi kabisa akisingizia hawezi rudi nyumbani wakati we umenuna na asiporudi migogoro inaendelea na wao kupata chansi ya wao kuendelea kujivinjari.
 
Tatizo la wanawake kuzoea kufanyiwa kila kitu bila kumuuliza mzee iko vipi? ndicho kilichomfanya maza house afurahie good tymes bila kujua source

Huyu mama nilivyomuangalia kama mjanja fulani hivi lakini inawezekana mjaa mkorofi ndani kamuamlisha tu twende kwenye birthday yangu kuna rafiki yangu kanialika. na yeye kaenda tu hana a wala b
 
Hapo ndio mwanzo wa kuanza kukumbushia...
 
Ha ha ha ha Fidel bana kwahiyo na wewe tukikutana tunakumbushia kwa kwenda mbele sio??? Wewe acha hizo hebu leta mambo hapa acha kuweka msitari mmoja na kukimbia

Mi tunaendeleza mpaka uzeeni swala ni kwamba mahawala huwa hawaachani kamwe labda uwe umechoka
 
Huyu mama nilivyomuangalia kama mjanja fulani hivi lakini inawezekana mjaa mkorofi ndani kamuamlisha tu twende kwenye birthday yangu kuna rafiki yangu kanialika. na yeye kaenda tu hana a wala b

Mjanja haonekani kwa sura! ila vitendo, kama sijakosea ni mchangamfu fulani au alistukia muvi akaamua kuzuga kama yupo happy!
 
Huyu mama nilivyomuangalia kama mjanja fulani hivi lakini inawezekana mjaa mkorofi ndani kamuamlisha tu twende kwenye birthday yangu kuna rafiki yangu kanialika. na yeye kaenda tu hana a wala b

Ashukuru mungu aliambiwa na yeye aende maana next time atakumbuka kumuandalia mumewe birthday party au hata kumualika chakula cha jioni kama hela ya kuandaa party hatakua nayo, mwingine ndio hata asingeambiwa mwanaume angejiondokea kimya kimya kujirudia usiku amelewa
 
Mjanja haonekani kwa sura! ila vitendo, kama sijakosea ni mchangamfu fulani au alistukia muvi akaamua kuzuga kama yupo happy![/QUOTE]

Aisee wewe unaakili kama mchwa sikuwezi hiyo inawezekana asilimia 100
 
Hapana hakuna ex.....rather secret lovers!
 
Kweli hapo naona kama mwanaume alikuwa anataka amukumbushe bila kumwambia live eti kasahau ha ha ha ha kazi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…