Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Yaani hiyo ni mfano mbaya kwa jamii, maza house alipaswa kutoa onyo kali ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hiyo na hao wahusika ili wasirudie tena huo ufenenge wao. Ucheka na nyani utavuna mabua. NDOA NA IHESHIMIWE
Sawabho, Sio kuvuna mabua tu, UTALALA NJAA