Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
View: https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs
Siongezi neno.
Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha.
Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu.
Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa jambo la kawaida au mtu kumng'ata mbwa ikawa stori?