Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
ArushaWapi huko...kaskazini au
Ova
Baba kafa, familia ipo mtegoni kuingia jela kwa muda mrefu.Si sawa mke akimfanyia ukatili au kumuua mumewe na si sawa mume akifanya ukatili au kumuuua mkewe.
Huyo mwanamke amekosea, ana kosa la jinai la kujibu na sheria imechukua mkondo wake. Ila pia amefanya sivyo sana kuwashirikisha watoto kwenye kitendo hicho cha kikatili.
Mkiona wanaume wenzenu wanafanya pia vitendo kama hivi, muwakosoe sio kuanza kusema “tunahitaji kusikia na upande wa pili, hawezi kua amemuua au kumpiga hivi hivi tu” maana hizo ndiyo comment tunazoonaga.
bora mimi naishi peke yangu!!Mambo ya ndoa ni mateso na kuvumilana asilimia 80 huko..
Babu zetu hawakua wajinga kuoa wake wengi na kuzaa watoto idad anayoyataka..
Hii itaendelea sana, bila kuwa mbabe kwenye familia kinachofuata ni kukataliwa mpaka na watoto wako wa kuwazaa