Hii Imekaaje...

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Hivi ulishawai kutumwa na mshikaji wako kumtongozea demu/men alafu huyo demu/men akakwambia kama ni wewe yuko tayar lakin kama ni mshikaj wako haitowezekana.
Hivi jibu zuri la kumpa huyo mshikaji ni lipi?
 
Kawaida sana hii najibebea mzigo kiulaini
 
Nishakula sana papuch kwa style hyo, huaga naita kumutestia mchizi kama itamfaa
 
Kwa mimi namfata mshikaji namweleza ishu ilivyo ili asije baadaye kunichukia hasa demu mwenyewe akiwa chombo.
 
Aseeeh lazima nimwambie ukwel mshikaj,,,
Maana hauwez ukagombana na mshikaj ako kisa sketi
 
Namgonga AF namuacha coz najua lengo lake n kutuletea ugomvi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…