Hii imekaaje??!

Hii imekaaje??!

juan moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
2,403
Reaction score
2,478
Kuna kipindi ulitokea msiba kijijini,sasa Bi.Mkubw na ndugu wengine ikabidi waende maana marehemu alikua Mtu muhimu kwao (shangazi yao,ndie aliebaki katika ukoo wa kina babu).Basi Maza kaniagiza nikawakatie tiketi yeye na Maza Mdogo waende wote gari moja. Aiseeee Maza mdogo alikata katakata kusafiri na dada yake (Mazaangu) kwa hofu kwamba ikitoke ajali watakufa wote yeye na Dada yake. Ikabidi waondoke siku moja Ila kila Mtu basi lake.
Kuna aliyewahi kukutana na hii!!?
 
Aliona mbali huyo!
 
Hamna n imani zao tu kufa unaweza kufa hata usipoenda
Watu wanakufa wakiwa wanakula sembuse kusafiri pamoja?
 
Na kuna yule wa UDOM alikufa juu ya kifua kwa tatizo la ekspansheni jointi
 
Back
Top Bottom