Mtu unaishi kw yale manzari ya extended families na ndugu, cousins and watoto and you work; unasepa asubuhi unarudi jioni muda wote huli home. Unajiletea chipsi kuku unajichana chumban na whatever privacy you get while watching movies. Unakuja kuitwa mchoyo as if watoto wote wameshinda na njaa all day 😡😡😡 mind you Wewe sio baba but Km uncle au Distant uncle ila kila kitu ukibeba mgawane Jaman when kuna vyakula kibao??? Mweee