lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
Kwani kuchuna ni dhambi?Mambo vp wadau
niende kwenye swali dialect
hivi nikwanini mwanaume anapo pata mwanamke (girlfriend) mwenye kauchumi kazuri akawa anamjali (kumuhonga) kama vile kumpa vipesa, kumnunulia mavazi nk. tena sometimes huyo mwanaume anampiga vimizinga akiwamba (kufulia) mwanamke anampa, inakuja kutafasirika niupendo?
lakini kwa mwanamke kumuomba mwanaume (boyfriend) wake pesa, au amnunulie chochote inatafasirika hana mapenzi ya dhati ni mchunaji ?
sasa iweje kwa mwanamke itafasirike anachuna lakini kwa mwanaume kupokea vya mwaKwani kuchuna ni dhambi?
Chukulia ni neno tu kama neno lingine chief
Usiumize kichwa
Achana na wanao tafsiri chief wataendelea kutafsiri tusasa iweje kwa mwanamke itafasirike anachuna lakini kwa mwanaume kupokea vya mwa
Wewe ni ke au me?Mambo vp wadau
niende kwenye swali dialect
Hivi nikwanini mwanaume anapo pata mwanamke (girlfriend) mwenye kauchumi kazuri akawa anamjali (kumuhonga) kama vile kumpa vipesa, kumnunulia mavazi nk. tena sometimes huyo mwanaume anampiga vimizinga akiwamba (kufulia) mwanamke anampa, inakuja kutafasirika niupendo?
lakini kwa mwanamke kumuomba mwanaume (boyfriend) wake pesa, au amnunulie chochote inatafasirika hana mapenzi ya dhati ni mchunaji ?