Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

sasa kwani diamond ni msanii mdogo africa! ha haaaa haaaa chuki itawaua nyi mashabiki wa kiba!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo wema nahisi watu akili zimeamia huko... angemtonya makonda ishu za madawa azivute mpaka march
 
Siku 4 una view ml 1 we unasema haufanyi vizuri labda kwa maroho yenu mabaya
Namini utaziputa hats hizo nyimbo zenu mlizozitanguliza
Wimbo huu unatusua kama hautaki ivi waache watokwe povu.....habari zetu wanazo zao hatuna
 
Sababu ya viewers kuwa wachache ni hizi
1.Account inayotumika ni mpya yani DiamondPlatnumzVevo
2.Wimbo si mzuri na ulikuwa unajulikana kupitia audio, wengi naona hawajaukubali kivile
 
Kwani ni nani anayedhibiti hayo maroboti kati ya Universal na Google?! Nyie watu mbona hoja zenu zinawafanya muonekane uwezo wenu wa kufahamu mambo ni mdogo?! Ngoja nikusaidie ndugu yangu ili usionekane kituko mbele ya waelewa! Ni Google/Youtube ndio wanadhibiti robots na sio Universal! Na ni hao hao Google/Youtube mwaka jana walimpa award Mondi kupitia channel hiyo hiyo mnayosema ananunua views.
 
Siku 4 una view ml 1 we unasema haufanyi vizuri labda kwa maroho yenu mabaya
Namini utaziputa hats hizo nyimbo zenu mlizozitanguliza
Mkuu zile nyingine zilikuwa zinafikisha Milioni ndani ya siku 2....upo hapo
 
Umemsahau na "juxrapper". Nilimuona juzi kati hum ndani. Sema yeye sio maarufu sana naona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…