Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Hahahaaaaaaaaah hivi mashabiki wa Diamond huwa wanaenda kuangalia videos zake kupitia subscribe?Mnataka kutuaminisha kwamba idadi ya subscribers ni sawasawa na viewers wa kwenye videos zake?

Acheni kutafuta sababu zisizokuwa na mashiko,safari hii mzee wa viewers mil. 2 ndani ya siku 2 kaangukia pua.
Halafu ajabu zaidi ni kwamba kamshirikisha mwanamuziki mkubwa duniani Ne-Yo!

Bila shaka wakati anamuomba collabo alijigamba sana,mimi ndio msanii mkubwa Afrika,sasa kwa viewers wale
Hahahaaaaaaa
sasa kwani diamond ni msanii mdogo africa! ha haaaa haaaa chuki itawaua nyi mashabiki wa kiba!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo wema nahisi watu akili zimeamia huko... angemtonya makonda ishu za madawa azivute mpaka march
 
Sababu ya viewers kuwa wachache ni hizi
1.Account inayotumika ni mpya yani DiamondPlatnumzVevo
2.Wimbo si mzuri na ulikuwa unajulikana kupitia audio, wengi naona hawajaukubali kivile
 
Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji[emoji116]
ff2ebbac5276709a8b5fe5d0ab7979ac.jpg

Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
11b1051e0ec3915ac878c2ac2d6189d5.jpg
Kwani ni nani anayedhibiti hayo maroboti kati ya Universal na Google?! Nyie watu mbona hoja zenu zinawafanya muonekane uwezo wenu wa kufahamu mambo ni mdogo?! Ngoja nikusaidie ndugu yangu ili usionekane kituko mbele ya waelewa! Ni Google/Youtube ndio wanadhibiti robots na sio Universal! Na ni hao hao Google/Youtube mwaka jana walimpa award Mondi kupitia channel hiyo hiyo mnayosema ananunua views.
 
Siku 4 una view ml 1 we unasema haufanyi vizuri labda kwa maroho yenu mabaya
Namini utaziputa hats hizo nyimbo zenu mlizozitanguliza
Mkuu zile nyingine zilikuwa zinafikisha Milioni ndani ya siku 2....upo hapo
 
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
Umemsahau na "juxrapper". Nilimuona juzi kati hum ndani. Sema yeye sio maarufu sana naona...
 
Back
Top Bottom