Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

1,435,000 and counting in one week, still # 1 Trending na bado kuna watu wanaota eti ngoma imebuma!!!

Kusoma hatujui, ina maana hata maandishi ukutani hatuyaoni?!
Waache wajichetue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
we kalinde tembo...diamond is an outstanding artist....na dunia inajua
 
Wale waliokua wansema view sasa wangalie siku 7 in a view ml1.7 Salome ilivyotoka ndani ya siku 4 ilipata view ml1 Utaona hakuna tofauti kubwa
 
wimbo umetoka tofauti
.
kwanza wameanza kuucheza kwenye tv station, kwahiyo baadhi ya maelfu waliuona ...
na kesho yake clouds 360,wakauweka
waTanzania tukauona..
baada ya hapo ndipo akauweka you-tube ambapo katumia vevo acc.....

kwahiyo katika mabadiliko hayo pia ametusua ,jamaa yuko vizuri!
 
Usuper star ni mzigo wa miiba! Hasa ukiwa nchi ambayo Ujinga ndo umetawala na watu hawataki kushughulisha vichwa!

TRUMP NI LINI AFRICA TUTATAWALIWA TENA?

PLZ UKIANZA anza Na Tanzania Safari hii tusibebe tena Vyuma
kwakweli
 
ndio hivyo hao waropokaji wanaona basi kafail kweli
 
Teh teh teh!..Huu uzi alieanzisha akili yake ni mgando.Hajui kwamba tupo "VEVO" right now na ni hatua kubwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…