Waache wajichetue1,435,000 and counting in one week, still # 1 Trending na bado kuna watu wanaota eti ngoma imebuma!!!
Kusoma hatujui, ina maana hata maandishi ukutani hatuyaoni?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wajichetue1,435,000 and counting in one week, still # 1 Trending na bado kuna watu wanaota eti ngoma imebuma!!!
Kusoma hatujui, ina maana hata maandishi ukutani hatuyaoni?!
[emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine
Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
we kalinde tembo...diamond is an outstanding artist....na dunia inajuaBro sasa mbona anakubali kuburuzwa tena wakati hayo ndio mambo aliyokuwa akiyapinga miaka yote?!
Unaanzaje kuacha Account yenye subscribers 400000+ tena iliyokupa mpaka tuzo kutoka YouTube na iliyokuwa ikifanya video zake zifikishe milioni 10+ Viewers?!
Na mwenyewe alisema mkataba wake na Universal ni jamaa kuuza ngoma zake mitandaoni...
Na alisema universal hawatoingilia chochote kuhusu zake ziweje,aimbe na nani au zitoke lini sasa mbona tunaanza kuona mambo tofauti tena?!
wimbo umetoka tofautiwabongo bwana issue hapo mbona ni ndogo sana! kwanza amebadili account ile vevo ni mpya kabisa!
Halafu video imewekwa you tube siku ya tatu baada ya kuchezwa trace kwa mara ya kwanza na clouda tv siku nzima iliyofuata!
Ile hamasa ya watu kwenda you tube ilipungua!
Ngojeni ifike muda na hao wengine wafungue vevo accont kwa mara ya kwanza muone viewers watakua wangapi!
kwakweliUsuper star ni mzigo wa miiba! Hasa ukiwa nchi ambayo Ujinga ndo umetawala na watu hawataki kushughulisha vichwa!
TRUMP NI LINI AFRICA TUTATAWALIWA TENA?
PLZ UKIANZA anza Na Tanzania Safari hii tusibebe tena Vyuma
ndio hivyo hao waropokaji wanaona basi kafail kweliwimbo umetoka tofauti
.
kwanza wameanza kuucheza kwenye tv station, kwahiyo baadhi ya maelfu waliuona ...
na kesho yake clouds 360,wakauweka
waTanzania tukauona..
baada ya hapo ndipo akauweka you-tube ambapo katumia vevo acc.....
kwahiyo katika mabadiliko hayo pia ametusua ,jamaa yuko vizuri!