Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji
emoji116.png
ff2ebbac5276709a8b5fe5d0ab7979ac.jpg

Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
11b1051e0ec3915ac878c2ac2d6189d5.jpg
hii ngoma imebuma wrong timing
Upepo umehama
Muuzaji alisafiri kikazi
emoji58.png
emoji58.png

Tuwe na subira!
Jamaa kamkataza asinunue si unajua tena mbele uko
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!

Watu tulikua busy kufatilia yanayojiri central... Timing is key!
wabongo bwana issue hapo mbona ni ndogo sana! kwanza amebadili account ile vevo ni mpya kabisa!
Halafu video imewekwa you tube siku ya tatu baada ya kuchezwa trace kwa mara ya kwanza na clouda tv siku nzima iliyofuata!
Ile hamasa ya watu kwenda you tube ilipungua!
Ngojeni ifike muda na hao wengine wafungue vevo accont kwa mara ya kwanza muone viewers watakua wangapi!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli
sasa hivi kila kona ni yy tuu...

yaani hakuna chochote kinachoendelea miye ht kuuskia sijawahii

wema katamalaki
kwahiyo usipousikia wewe ndio hakuna chochote kinachoendelea?
 
Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji[emoji116]
ff2ebbac5276709a8b5fe5d0ab7979ac.jpg

Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
11b1051e0ec3915ac878c2ac2d6189d5.jpg
Mkuu huoni hata idadi ya subscribers ni tofauti? Vipi unajua subscribers wanaplay part ipi kwenye kuboost number of viewers? Vipi huoni kama hiyo account ni mpya? Vipi na wewe ni miongoni wa wale wanaoamini Diamond aliwadanganya google hadi wakampa ile tuzo?
 
Ungekua unafikiria ungesema hata hizo views 800000+ nying koz hiyo account ni mpya na ina subscribers 12000 na ile ya mwanzo ilikua na subscribers 500000+ ko kabla ya kujudge ungejiuliza so unalopoka tu
 
Wewe mtoa mada ndio uwezo wako wa kufikilia ndio umefika mwisho? Hiyo nyimbo kaipost kwa kutumia account mpya ya VEVO. Ana mkataba na universal na universal wanawatumia vevo kupitia u tube, kama haujaelewa na hapa basi mwalimu wako ana shida.
Acha ukilaza kwahiyo vevo inapubguza watu wa kucheck video
 
timing haikua nzur managemnt yake nafikir kuhusu release date naona ilipangwa na universal
Siku ile alivyokuwa anaojiwa xxl alikuwa anasema Universal hawana mamlaka yoyote.

Yeye ndio anaamua atoe nyimbo na video lini...Universal kazi yao ni kuuza kazi zake kwenye mitandao au bwana Dimond alitudanganya kama kawaida yake?!
 
wabongo bwana issue hapo mbona ni ndogo sana! kwanza amebadili account ile vevo ni mpya kabisa!
Halafu video imewekwa you tube siku ya tatu baada ya kuchezwa trace kwa mara ya kwanza na clouda tv siku nzima iliyofuata!
Ile hamasa ya watu kwenda you tube ilipungua!
Ngojeni ifike muda na hao wengine wafungue vevo accont kwa mara ya kwanza muone viewers watakua wangapi!
Unadhani kuwa Diamond ndio Mwanamuziki wa kwanza kuwa na vevo account bongo?!
 
Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini mpaka sasa video hajafikisha million 1 tatizo nn!! Na sasa hivi hawaongelei issu ya viewerView attachment 468153

Watu hawataki kuhusishwa na madawa ya kulevya tena, yaani kwa ufupi ni kwamba wamemchoka.
 
Wewe mtoa mada ndio uwezo wako wa kufikilia ndio umefika mwisho? Hiyo nyimbo kaipost kwa kutumia account mpya ya VEVO. Ana mkataba na universal na universal wanawatumia vevo kupitia u tube, kama haujaelewa na hapa basi mwalimu wako ana shida.
huo mkataba ndio ule alilipwa bilioni 2.2 a lady akalipa kodi milioni 35?!

alafu kama unatumia account ya vevo huwa inapunguza viewer?!
 
Siku ile alivyokuwa anaojiwa xxl alikuwa anasema Universal hawana mamlaka yoyote.

Yeye ndio anaamua atoe nyimbo na video lini...Universal kazi yao ni kuuza kazi zake kwenye mitandao au bwana Dimond alitudanganya kama kawaida yake?!
kaz kwelkwel
 
huu wimbo umetolewa kivingine, kwa malengo mengine
lazima waTanzania waelewe....

Halafu tumeletewa system mpya ambayo ina mlolongo mwingi ,unawashinda baadhi yetu
Sijakuelewa unavyosema swali ni why hii video haijafikisha views haraka tofauti na video zingine?
 
Wewe mtoa mada ndio uwezo wako wa kufikilia ndio umefika mwisho? Hiyo nyimbo kaipost kwa kutumia account mpya ya VEVO. Ana mkataba na universal na universal wanawatumia vevo kupitia u tube, kama haujaelewa na hapa basi mwalimu wako ana shida.
Kwani ukiwa VEVO ndo video yako haiwez kufikisha views haraka kama anavyofanyaga? ?kwani shda ipo wapi? ?sidhani kama umeandika kitu sahihi
 
wabongo bwana issue hapo mbona ni ndogo sana! kwanza amebadili account ile vevo ni mpya kabisa!
Halafu video imewekwa you tube siku ya tatu baada ya kuchezwa trace kwa mara ya kwanza na clouda tv siku nzima iliyofuata!
Ile hamasa ya watu kwenda you tube ilipungua!
Ngojeni ifike muda na hao wengine wafungue vevo accont kwa mara ya kwanza muone viewers watakua wangapi!
Umeandika nini mkuu??
 
Hahahaaaaaaaaah hivi mashabiki wa Diamond huwa wanaenda kuangalia videos zake kupitia subscribe?Mnataka kutuaminisha kwamba idadi ya subscribers ni sawasawa na viewers wa kwenye videos zake?

Acheni kutafuta sababu zisizokuwa na mashiko,safari hii mzee wa viewers mil. 2 ndani ya siku 2 kaangukia pua.
Halafu ajabu zaidi ni kwamba kamshirikisha mwanamuziki mkubwa duniani Ne-Yo!

Bila shaka wakati anamuomba collabo alijigamba sana,mimi ndio msanii mkubwa Afrika,sasa kwa viewers wale
Hahahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom