Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

duu!bonge ya movie.nilijua tu mwisho wake lazima adui atafia kwenye mjani:flame:
 

WTF! ungetumia na michuzi moja hapa lingekuwa jambo zuri sana raha ya stori picha hasa za JF..
 
Akitoka hapo anaenda kujifuta futa na tishu akifika nyumbani hallo honey I ril miss hw was ur day,mine was ril greit blah blah blah...

Hahahahhahaha! Hiyo ndo style yao mkuu tena siku hizi inakua sana! Jioni saa kumi na moja yuko nyumbani anasimamia homework za watoto alafu anakupikia sim anakuuliza sweetie leo nikupikie nini? We uko bar unajiona una mke wa ukweli, kumbe kimeo kwa kwenda mbele!
 
Mbona humuongelei m'baba? Ambaye akikuta missed calls 3 za wife anampigia baadae na kumuwashia moto 'niko busy na kazi unanipigia simu za kipuuzi kunisumbua! Unasemaje sasa!'

Tena nafuu mwanamke akiwa na affair anarudi na mabusu ya kinafki walau amani inakuwepo japo ukimwi unawanyemelea! Mwanaume anarudi na kisirani kama mbwa, dharau za ajabu na kununa mdomo unavutwa kama bata! Ukimwi uletewe na karaha upewe!
Akitoka hapo anaenda kujifuta futa na tishu akifika nyumbani hallo honey I ril miss hw was ur day,mine was ril greit blah blah blah...
 

wewe ni mchina?
 
Hehehe, malizia tu uko bar na mabar maid na wanawake wa ofisini kwako (ambao hujui waume zao wako na mabar maid wa wapi), unajiskia unamuweeza mkeo! Mwaka huu mtasaini. Mikataba ya kukataa infidelity kwa hiari zenu! Mmefundisha wake zenu ukahaba sasa wamewapiku mnadata! Hahaha!

Ule usemi ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii una ukweli atii!
 
mkuu ulitakiwa uwachukue kapicha, labda ungezaidia kuvunja mtandao huo wa ngono, huyo jamaa unaweza kuta anamke au mpenzi mwingine. siamini kama kweli huyo ni wake tuu, wangekurupuka mida, hiyo ya kazi.

hapo ni mulika wizi tu

mida ya kaziii.....mida ya kazi...mpenzi ngoja niwahi kuzini.....aah sorry..kazini.
 
Nina hakika ukimwi utatumaliza mtu katoka WHO shirika la afya hata hisia za kujua kuna ukimwi hakuna Duh!
 
looks so kinky... i guess jamaa atakuwa amekata hela ndefu sana baada ya kujilipua jivyo.....
 
Watu wengine bwana sijui akili zao ziko vipi...!! sasa hapo kuna raha gani...??

Hata Mimi huwa nashangaa mno, hivi wanaenjoy nini , wasiwasi haraka, loo, binadamu bhana..... Huyu ni mke wa mtu ndo maana anapiga fastafasta, jioni nyumbani mapemaaaaa, MUME Ana kenua meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…